Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

Wenzio hata mshahara hatuna, kibarua hatuna, maisha yanaenda vizuri tu.

Hii ndio Bongo, changamsha akili.
Kwakweli umemjibu vizuri! Watanzania walio wengi hawana ajira! Nenda kariakoo, mbagala, mbezi mwisho huoni nyomi ya watu wakihustle kujitafutia liziki! Watu hao atleast kati ya haya wanasupport familia kubwa, wanaendesha magari, wamejenga, wanahesh8mika mitaani, n.k. Kwahiyo akili kichwani!
 
Ni mbinumbinu tu, tukiongozwa na viongozi wa serikali ambao ndio wataalamu wa mbinu zaidi
 
ukipost changamoto unayopitia kama ivi unakuja gundua kuwa haupo mwenyewe kwa ground unateseka, watu wanateseka aiseee, imagine azamtv ya 23,000 ni anasa inaonekana.
Sasa hii si ndio package ya mwisho kabla ya ile ya 35!! Ni sawa na kulipa package ya dstv ya 192000. Ni anasa kwa kuwa dstv haohao wana package ya Tshs. 9000 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom