Kwahiyo wewe ni mwizi? Au hiyo tofauti hapo unaifidiaje?Nimepanga nalipa kodi 300,000 kwa mwezi, ada za watoto jumla kuu ni 8,000,000 tsh kwa mwaka
1,000,000 × 12 = 12,000,000
300,000 × 12 = 3,600,000
8,000,000 + 3,600,000 = 11,600,000
67% ya take home ni ADA tu? Kuna tatizo sehemu!
Matumizi mengine yoote yaliyobaki baada ya ADA na KODI, yanaangukia kwenye 400,000 kwa miezi 12?
Kama hivyo ndivyo, bado uko sehemu sahihi, endelea kutenda miujiza!