Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Mkuu kuzaa bila kupiga hesabu ni kuzaa hovyo.. kama angekuwa kashapiga hesabu kabla asingekuja na malalamiko maana kila kitu angekuwa kashapanga kabla hajawaleta hao viumbe.. angalia hali ya maisha ilivyo hivi sasa na mapato yetu ya kila mwezi utagundua kuna ratio haiko sawa baba umeoa una watoto watatu na huyo mkeo kimahaseabu ni wanne sasa angalia kipato chako then gawanya kwa idadi ya watu hao wanne walio nyuma yako utagundua wewe utaishi kimaskini mpaka unaingia kaburini. mi naenda zanguMkuu, kuwa na watoto 3 ni kuzaa hovyo?