Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuhnimepanga nalipa kodi 300,000 kwa mwezi, ada za watoto jumla kuu ni 8,000,000 tsh kwa mwaka
Mkuu upo wapi Kama upo DSM tumia formula ya kununua vitu vya ndani kea jumla vinavyotosha mwezi mmoja Kama hivi
Mchele kg 25=60k
Unga kg kg 15=25k
Sukari kg 5 =15k
Gas/mkaa 58k-60k
Umeme 20k
Mafuta Lita 5 18-20k
Maharage kg 10-15 =30-40
Maji 10k
Chakula Cha mwezi mmoja Pamoja na Umeme na maji jumla 200k lakimbili
Kila siku unaach nyumbani elfu 10k hii ni hela ya kubadilisha Mboga na vitafunwa na Nauli za watoto kwenda shule Kama wanasoma.
Then mke wako Kama ni Mama wa nyumbani kwa mwezi mpatie hata 40k kwa ajili ya matumizi yake madogo madogo Kama kusuka n.k na vocha.
So kwa mwezi hesabu inasoma 240k jumla pia tenga 60k hii ni ya emergency kama kuumwa n.k
Total =540k
Hapo nadhani ukiwa na take home Kuanzia laki sita , unaweza kutoa 540k ikatoboa mwezi mzima
Then hiyo 60k
Inayobaki tumia kwa ajili ya Nauli n.k then ile 60k hapo juu Kama mtu hajaumwa acheni ikae bank msiitumie itasaidia Kodi ya pango n.k
Nb hata Kama una Pesa kiasi gani Jenga muunganiko Mzuri na muuzaji wa duka la matumizi unapopokea mshahara Tumia mfumo wa kukopa na kulipa unakopa mahitaji yako yote then ile Ambayo ungemlipa iweke bank then usubiri mshahara uingie usikubali kukaa bila hela bank na usikubali kukaa ndani bila chakula Ahsante
Usalama wa kwanza ni Kuwa na chakula ndani then pesa bank

Hapa ndo tatizo lilipoanzianimepanga nalipa kodi 300,000 kwa mwezi, ada za watoto jumla kuu ni 8,000,000 tsh kwa mwaka
Hawezi kufuga kuku huyu masta😃😃Nafikiri hakuna kanuni moja ila muhimu ni kuwa; mshahara ukiongezeka na matumizi huongezeka hivyo, wengi watakuambia mishahara ya kawaida huwa haitoshi labda wale wachache waliopo kwenye taasisi nyeti au walamba Asali
Mfano: mtu akikaa kwenye nyumba ya 50,000; mshahara ukipanda atahamia kwa nyumba ya 100,000; kama alikuwa anatembea kwa miguu atanunua pikipiki ambayo inahitahi mafuta na anaweza kuhamishia watoto kwenye shule za English medium na kuboresha msosi kiasi unakuta habakiwi na kitu.......
Mwingine alikuwa na pikipiki atahamia kwenye gari, na nyumba ya laki mbili, na kujitahidi kuvuta familia yake kwa kuwasaidia hapa na pale; si unajua huku Afrika akitoka mmoja Familia yote inamuangalia...nk nk nk
Jitahidi umfungulie wife ka biashara, hata saluni, mama ntilie, Kibanda nk (ila iwe biashara anayoipenda ili asimamie) itakusaidia sana. Mradi wa kufuga kuku ni mzuri pia kama mazingira yanaruhusu... utanishukuru baadae....
Maisha yatakua hayana maana kabisa kama utaishi kwa kujibana iv.Kwa familia yako.. Unweza tumia 7,000 per day.. Pia punguza matumizi ya vitu visivyo vya lazima sana.. Mfano kula nyama kila mlo au maziwa au azamtv ya 23000 unaweza nunua cha 8000 wali kwa wıkı mara moja
Duu Kodi yako ni mshahara wa ndoto yangu kwasasa Mungu fundi.nimepanga nalipa kodi 300,000 kwa mwezi, ada za watoto jumla kuu ni 8,000,000 tsh kwa mwaka
Mkuu, ahsante sana kwa hii kanuni.Mkuu upo wapi Kama upo DSM tumia formula ya kununua vitu vya ndani kea jumla vinavyotosha mwezi mmoja Kama hivi
Mchele kg 25=60k
Unga kg kg 15=25k
Sukari kg 5 =15k
Gas/mkaa 58k-60k
Umeme 20k
Mafuta Lita 5 18-20k
Maharage kg 10-15 =30-40
Maji 10k
Chakula Cha mwezi mmoja Pamoja na Umeme na maji jumla 200k lakimbili
Kila siku unaach nyumbani elfu 10k hii ni hela ya kubadilisha Mboga na vitafunwa na Nauli za watoto kwenda shule Kama wanasoma.
Then mke wako Kama ni Mama wa nyumbani kwa mwezi mpatie hata 40k kwa ajili ya matumizi yake madogo madogo Kama kusuka n.k na vocha.
So kwa mwezi hesabu inasoma 240k jumla pia tenga 60k hii ni ya emergency kama kuumwa n.k
Total =540k
Hapo nadhani ukiwa na take home Kuanzia laki sita , unaweza kutoa 540k ikatoboa mwezi mzima
Then hiyo 60k
Inayobaki tumia kwa ajili ya Nauli n.k then ile 60k hapo juu Kama mtu hajaumwa acheni ikae bank msiitumie itasaidia Kodi ya pango n.k
Nb hata Kama una Pesa kiasi gani Jenga muunganiko Mzuri na muuzaji wa duka la matumizi unapopokea mshahara Tumia mfumo wa kukopa na kulipa unakopa mahitaji yako yote then ile Ambayo ungemlipa iweke bank then usubiri mshahara uingie usikubali kukaa bila hela bank na usikubali kukaa ndani bila chakula Ahsante
Usalama wa kwanza ni Kuwa na chakula ndani then pesa bank
Mtu anapokea take home 1M unasema ajajioanga ila ukifatisha Standard za JF unaweza usifanye kitu aiseeMadhara ya kukimbilia familia bila kujipanga ndio hayo.
Mkuu upo wapi Kama upo DSM tumia formula ya kununua vitu vya ndani kea jumla vinavyotosha mwezi mmoja Kama hivi
Mchele kg 25=60k
Unga kg kg 15=25k
Sukari kg 5 =15k
Gas/mkaa 58k-60k
Umeme 20k
Mafuta Lita 5 18-20k
Maharage kg 10-15 =30-40
Maji 10k
Chakula Cha mwezi mmoja Pamoja na Umeme na maji jumla 200k lakimbili
Kila siku unaach nyumbani elfu 10k hii ni hela ya kubadilisha Mboga na vitafunwa na Nauli za watoto kwenda shule Kama wanasoma.
Then mke wako Kama ni Mama wa nyumbani kwa mwezi mpatie hata 40k kwa ajili ya matumizi yake madogo madogo Kama kusuka n.k na vocha.
So kwa mwezi hesabu inasoma 240k jumla pia tenga 60k hii ni ya emergency kama kuumwa n.k
Total =540k
Hapo nadhani ukiwa na take home Kuanzia laki sita , unaweza kutoa 540k ikatoboa mwezi mzima
Then hiyo 60k
Inayobaki tumia kwa ajili ya Nauli n.k then ile 60k hapo juu Kama mtu hajaumwa acheni ikae bank msiitumie itasaidia Kodi ya pango n.k
Nb hata Kama una Pesa kiasi gani Jenga muunganiko Mzuri na muuzaji wa duka la matumizi unapopokea mshahara Tumia mfumo wa kukopa na kulipa unakopa mahitaji yako yote then ile Ambayo ungemlipa iweke bank then usubiri mshahara uingie usikubali kukaa bila hela bank na usikubali kukaa ndani bila chakula Ahsante
Usalama wa kwanza ni Kuwa na chakula ndani then pesa bank
7000 unaishi kijijini au?Kwa familia yako.. Unweza tumia 7,000 per day.. Pia punguza matumizi ya vitu visivyo vya lazima sana.. Mfano kula nyama kila mlo au maziwa au azamtv ya 23000 unaweza nunua cha 8000 wali kwa wıkı mara moja
7000 unaishi kijijini au?
Ongea na Mwamposa aliwezaje wakati alikuja mjini bila vyeti, ila anakusanya jiji zima analigongesha minotiNimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuwa je, kiwango cha mshahara ninachokipata kulingana na majukumu niliyonayo kama kinanitosha, ni baba wa mke mmoja na watoto watatu ambao kati yao wawili wameshaanza shule.
Sasa kila nikipokea mshahara let say tar 01 ikifika tar 03 huwa sina kitu mfukoni, nimefika mahala mpaka nahisi huenda nina changamoto katika matumizi yangu ya pesa lakini nikiangalia sioni popote pesa ilipoenda kwenye matumizi ambayo sio ya lazima.
Kutokana kwamba watu ni wasiri sana haswa kwenye suala la kipato anachopata, imenibidi niulize huku kwamba atleast "Take Home Salary" inatakiwa isipungue kiasi gani kwa mwezi. Ili endapo labda kiasi niancholipwa ni chini ya hapo niparangane kutafuta ajira mahali pengine.
Naamini kabisa hapa tatizo ni la kiroho. Milioni 1 take home na bado mtu anapata stress!! Kwa kweli inabidi aokokeSimply; mshaara ukitoka nunua gunia la mchele kilo mia, unga kilo 50, mkaa na gas, weka luku ya kutosha na dumu la mafuta. Hii itakusaidia sana. Miezi miwili mbili utakua na akiba na hela itaanza kutosha. Kwenye familia ni chakula na matumizi mengi ndio kinachukua hela nyingi.
Mwisho, uokoke uwe mchaMungu, uenda tatizo laki ni la kiroho ambapo ata ukipata milion 10 kwa mwezi itakua kazi bure.