DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mimi najua kupangilia hesabu sema mtoa Mada hameshindwa kusema anapokea mshahara kias gani na hajaweka mkoaMkuu, mpangilio wako mzuri ila hesabu imekuponyoka kidogo.
Pale juu kwenye vitu, tayari ni 240k, ukiweka na hiyo 10k ya kila siku, jumla ni 540k, weka sasa na hiyo 40k ya wife, 250k ya kwako binafsi!
Huwezi kuweka 50k kwaajili ya kodi kwa mwezi, nyumba gani hiyo?
Tayari una 830k, sasa weka na 300k ya kodi.
Take home ya kuanzia 1,000,000 ni reasonable kama unataka kuishi maisha hayo na kwa hesabu hiyo!
Kinyume chake, kila take home inafaa tu, ndio maana kuna level tofauti za kimaisha!