Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
MnooWenye shule wanatupiga sana hela
Tafuta hela dogo,kayumba ni laana aiseeNashangaa sana wazazi wanaojifilisi kwa madeni kisa kupeleka watoto English Medium
English Medium ni Kayumba inayotumia English. Kama huna uwezo wa kumpleka mtoto International Schools kwenye mitaaala ya kimataifa hakuna haja ya kujitia stress na izo EMs
Wazazi wakumbuke izo EMs na Kayumba wote wanatumia mtaala mmoja sema mmoja anaufundisha kwa kiswahili na mwingine kwa kingereza
ni kwli usemalo muhimu ni kwamba mie kama mzabzab nitakuwa napata burudani ya kubadilisha mbusus nitakavyo.Mbususu huwa hazikomolewi. Huwezi shindana na ulipotoka
Kumanyoko zake, kwani haoni kuwa mshara wake ni mdogo?kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
View attachment 3239070
Mnazaa mitoto haina akili mnasingizia Kayumba! Mtoto kama ana akili na ufahamu wa kutosha hata akisoma jalalani anafaulu vizuri kabisaTafuta hela dogo,kayumba ni laana aisee
Sasa hapo anateseka nini wakati ajaanza hata kuwalipia adakama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
View attachment 3239070
Heheheelimu hii bado haina connectedness na who we are supposed to align with,kusomesha shule ya private nje ya uwezo hakumaanishi kwamba wewe ndio champion ktk eneo la kumjenga mtoto,if u deeply dig ni UTUMWA ULIO RUDI KWA MLANGO WA NYUMA,afanye research ndogo tu kwa kizazi hiki cha yes no akikitazama vizuri kinaweza kufanya nini cha kuikomboa Afrika????
asiishi kwa mkumbo ambao wazazi wengi wamebebwa wakati hata huo uwezo haufiki,atajikuta anasucrifice na kubaki na wounds ambazo hatoweza kuzitibu hapo baadae ambazo in return atazihamishia kwa hao hao watoto maana atajikuta hapati matokeo yanayoendana na matokeo aliyo yatarajia,ELIMU ni zaidi ya inayotolewa darasani,
elimu inaanzia nyumbani kwao,mama/baba anapaswa kuwa ni mwalimu mkuu wa kizazi,mitaala hii ya kizungu inatupa highlight tu ila hatukuumbwa ili tuishi kwa mitaala ya kizungu,kama anaweza kunielewa ni apeleke shule ambayo imo ndani kabisa ya uwezo wake na abaki na uwezo wa savings ambazo atamudu kuzigeuza na kuwa investment,life needs more than hiyo inayoitwa elimu ya mzungu!!!
HeheheMxxxxiiiiieeeew!!!
Sawa ufaulu wako ulikuaje tuanzie hapo usije ukawa unatuzuga tu hapaπππNa tatizo mitoto ya siku hizi haina akili na wazazi wanawadekeza sana
Wengi tumesoma hizo shule, darasa moja watoto 300 na tulifaulu vizuri,
O-level kayumba darasa moja watoto 100+ na tulifaulu vizuri
A-Level kayumba tukakutana na hao waliopitia privates bado tukawaburuza
Vyuoni serikali ikatupa kipaumbele kwenye mikopo tuliopitia kayumba kuanzia mwanzo
Baada ya chuo wote tukakutana kwenye kukimbizana na ajira za serikali
Wanawake wanaelewa sasa? Akishaona jirani amepeleka watoto shule za gharama basi atamsumbua mume mpaka watapeleka watoto huko...then mume anaendelea kubabuka tu.Wala isiwe tabu, watoto wasome shule za serikali na awawekee akiba kwa wanae kidogo kidogo
In life the more unagharamika ni the more unawaza kimapana ni lazima ufikirie big dream, na kwenye life yetu ya kiafrika lazima awepo mtu mmoja wa kujitoa sadaka ili kizazi kipate matunda ya jasho lako. Ukianza kuishi kwa kuogopa gharama tayar ushakubali kutokubadilika. Lazima kabla hujaanza maisha uwe na family plan au raman yenye njia utakayopita kuifikia kesho yako. Ina maumivu kwa muanzilishi kwa muda ila ukikomaa kuna faida kubwa sana mbeleni. Elimu ni matokeo ya wazazi wenye shauku ya kuona kesho bora ya watoto wao, watoto wenye kujituma kwaajili yao na walimu wanaopata huduma bora, na kutamani kuona matokeo bora ya kazi zao? Mi nina watoto wanne wawili nimewasomesha shule za kanisa katoliki na mmoja feza na mwingine shule moja Nairobi, nimewasomesha shule tatu tofauti na nimepata binadamu watatu tofauti. Ila kilichonisaidia mimi ni ukuda. Kama kuna eneo Mungu amenisaidia ni ukuda aisee. Wale wakubwa wako chuo uingereza wawili bado wako shule, nimegundua displin na kuwaombea watoto na kuwatolea sadaka, watoto usiwatoe ile life ya kiafrica, ukiwa umeajiri house girl au h boy, kazi zote wanazofanya wanao wakiwa nyumban wafanye tena kila siku akiwa nyumban aandike kazi alizofanya. Wk end ukiwa home toka nao uwape muda kuwasikiliza, na jitahd uwe na shamba darasa. Mfundishe maisha yoyote. Mfano mimi nilijifunza china mtu mmoja anaweza kuwa amesomea sayansi lakin kasomea ufundi Bomba ufundi umeme nk nk. So hakuna siku atakosa kaz. Mtoto akiomba hela lazima apewe kaz mfano lima hapo mpaka pale ajue gharama za kupata hela, mwisho ni exposure very important na mwisho kabisa dunia yote inaelekea kwenye computer so wekeza sana huko. Na kwenye dini. Wajengee utaratibu wa kusoma sana vitabu kuwa na maktaba kadogo nyumban na uwe unawatembelea watoto yatima na wenye mahtaji maalum kila mwisho wa mwaka na usisahau kutembelea maeneo mfano wa masaki pia au muthaiga Nairobi, sundtown ukipata hela ili wajifunze vyote. Mi wa lasaba nilifikiria magumu miaka hiyo namaliza la saba 93 nimeona matokeo yake aisee. Africa ndio eneo rahic zaid kutoka maana serikali ziko very weak hazina mifumo ya kudhibiti mtiririko wa hela so unaweza kucheza na mfumo utakavyo kama wanavyofanya waarabu na wahindi na ukatoboa.elimu hii bado haina connectedness na who we are supposed to align with,kusomesha shule ya private nje ya uwezo hakumaanishi kwamba wewe ndio champion ktk eneo la kumjenga mtoto,if u deeply dig ni UTUMWA ULIO RUDI KWA MLANGO WA NYUMA,afanye research ndogo tu kwa kizazi hiki cha yes no akikitazama vizuri kinaweza kufanya nini cha kuikomboa Afrika????
asiishi kwa mkumbo ambao wazazi wengi wamebebwa wakati hata huo uwezo haufiki,atajikuta anasucrifice na kubaki na wounds ambazo hatoweza kuzitibu hapo baadae ambazo in return atazihamishia kwa hao hao watoto maana atajikuta hapati matokeo yanayoendana na matokeo aliyo yatarajia,ELIMU ni zaidi ya inayotolewa darasani,
elimu inaanzia nyumbani kwao,mama/baba anapaswa kuwa ni mwalimu mkuu wa kizazi,mitaala hii ya kizungu inatupa highlight tu ila hatukuumbwa ili tuishi kwa mitaala ya kizungu,kama anaweza kunielewa ni apeleke shule ambayo imo ndani kabisa ya uwezo wake na abaki na uwezo wa savings ambazo atamudu kuzigeuza na kuwa investment,life needs more than hiyo inayoitwa elimu ya mzungu!!!
Umesahau kuwa ukiwa na loose money nyingi mfukoni utafanya yasiyofaa, ukimwi, ulevi =Afya mbovu. Mwafrika ndivyo alivyo.Somesha shule unayoimudu usije tesa watoto kukaa nyumban kwa kukosa ada, kula kwa urefu wa kamba yako ukilazimisha kula vya mbali utajinyonga bure!!ππππ
Do what you can afford kwakweli mambo ya kukopa Ili usomeshe shule za Gharama it doesn't make any sense at all !!!
Mateso mengi kwa asilimia kubwa yanatokana na aina ya maisha tunayochangua na maamuzi tunayofanya kwenye maisha.
Bora mtoto awe mshindi wa wastani lkn ajue kujiekeza kuliko kutembea na point 7 kujiekeza ni bubu.Ninaposema kujieleza katika lugha zote, Na wale wote wanaofahamu kujieleza hakuna anayefeli kupata ajira, wengi wanapass interview zao hata kama GPA zao ni ndogo, fuatilia utagundua.Sure nilikua nawaogopa wakati tunaingia school A level ila nikaja kuwa nawakimbiza, na ile top list karibu yote pale school tulikuwa tunaperfom watoto wa kayumba,
Uzazi wa mpango sio rahisi utoe mtoto mwenye akili, ni wachache sana wanaojua hili.Mnazaa mitoto haina akili mnasingizia Kayumba! Mtoto kama ana akili na ufahamu wa kutosha hata akisoma jalalani anafaulu vizuri kabisa
Mnazaa mitoto na kuidekeza inakua haina adabu wala heshima halafu mitoto yenu ikiadhibiwa huko shuleni mnasema Kayumba wananyanyasa watoto
Mshahara ni mbegukama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
View attachment 3239070
Sasa itakuwajeπββοΈπββοΈπββοΈSitaki ufe kwa dipresheni uote na upara na ni mwanamke π
Kwa hiyo unachukua kodi ya nyumba yako unaenda kulipia ada ENGLISH MEDIUM?Mimi anasoma ada 2.1M na mwingine 1.2M. Sio kila mtu amepanga nyumba, wengine ni wenye nyumba, tunachukua kodi, na mshahara no kama huo