Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

HUYU MAMA NDO ANAFAA, ANWADANGANYA MNAFURAHI KULIKO MAGUFURI MSEMA KWELI
 
Usijifanye wewe si mmoja wao wakati MBOWE yupo anaramba nae asali!

.. Sukuma gang wanekomeshwa!
 
Naomba chanzo cha data zako.
Mara nyingi tu mbona inatamkwa bungeni? Huwa hamfatilii bunge la bajeti?
Chukua hii
Screenshot_20211107-192630_1.jpg
 
Usijifanye wewe si mmoja wao wakati MBOWE yupo anaramba nae asali!

.. Sukuma gang wanekomeshwa!
Tatizo lako wewe nguchiru unafikiri watu wote humu ni vilaza. Sukuma ganga ndo waliahidi 23% au unajitoa ufahamu tu wewe mbulula. Na Bahat mbaya kwako niliachana na utumwa wa serikali ya maccm jiwe alipoingia tu ikulu. Nikaamua kufanya mambo yangu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Acheni kqzi tu sisi ambao hatujaajiriwa tunatamani basi hata izowalizo ongeza wangepunguza kwenye mshahara wazamani yaani mshara ndio upungue sio kuongeza natupo tayari kwa kazi nakuimba mama mama mama
Sema upo tayari sio tupo tayari
 
Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?

Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote zile increment haizidi 20K!

Nadhani Sasa ni muda wa watumishi wa umma kujitambua na kuacha kushoboka na serikali. Serikali ime-inflate gharama za maisha kwa kiwango kikubwa but then haina efforts za kuboresha maslahi.

Maamuzi ya namna hii yanapunguza morali ya kazi na kushusha uadilifu. Tutegemee uzembe makazini na kuongezeka ubadhirifu.

Serikali imeshindwa kusimamia utumishi wa umma hususani kwenye suala la maslahi.
Mishahara kama ni haiwatoshi si muache kazi zenyewe, mtupishe sisi wahitaji wa mishahara hiyohiyo, tena hatuhitaji hata nyongeza.
 
Sema upo tayari sio tupo tayari
Wingi inaanza nangapi Mimi nawatambua zaidi 20 natupo kwenye group nakama hauamini washauri wenzako mjitoe alafu serekali itangaze tends uone kama nafasi haziwi chache nakushangaa unapinga hata ukweli khaaa
 
Wingi inaanza nangapi Mimi nawatambua zaidi 20 natupo kwenye group nakama hauamini washauri wenzako mjitoe alafu serekali itangaze tends uone kama nafasi haziwi chache nakushangaa unapinga hata ukweli khaaa
Huna majukumu kijana tuliza kifurushi hicho
 
Back
Top Bottom