NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Hawa lazima watakuwa walimu tu
Mambo mabaya,23.3%imezinguaπ₯To yeye wangu, mambo
Achana na hiyo kazi, nitakulipa mm na kukufungulia biashara nzuri.Mambo mabaya,23.3%imezingua[emoji26]
Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?
Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote zile increment haizidi 20K!
Nadhani Sasa ni muda wa watumishi wa umma kujitambua na kuacha kushoboka na serikali. Serikali ime-inflate gharama za maisha kwa kiwango kikubwa but then haina efforts za kuboresha maslahi.
Maamuzi ya namna hii yanapunguza morali ya kazi na kushusha uadilifu. Tutegemee uzembe makazini na kuongezeka ubadhirifu.
Serikali imeshindwa kusimamia utumishi wa umma hususani kwenye suala la maslahi.
Kama kipato hakikutoshi kuliko makelele namatamaa acha kazi ukalime utapata sana nautakuwa tajiri huko tupishe nasisi uone kama jicho haliwi nyanya uiarikiri unapikia kuni mbichiHuna majukumu kijana tuliza kifurushi hicho
Hakika naacha aisee π€Achana na hiyo kazi, nitakulipa mm na kukufungulia biashara nzuri.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Natamani kuongea kitu hapa lkn naogopa
To yeye wangu una shingo nzuri[emoji7]Hakika naacha aisee [emoji848]
π€£πππππTo yeye wangu una shingo nzuri[emoji7]
Tena ilitakikana waongeze sauti kwenye hicho kiitikio[emoji28][emoji28][emoji28]Ule ubeti wa tunaye hadi 2030 hausikiki tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cocastic tulia mimi siyo mtumishi wa umma.Dogo vipi nawee umepata 20k? Unipasie 10k.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaelekea sarakasi lote liko mikononi mwa yule waziri wa fedha! Anakupa kiduchu anakinyang'anya sehemu ya hicho kiduchu unabaki na kiduchu zaidi kwenye take home!! Halafu anakutarajia upige makofi!Mama anaupinga mwingi sana