Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Mlitumwa kuwa watumwa wa fisiemu? uchaguzi mnawasaidia kuchakachua, lakini katika mambo ya msingi hakuna mnachofaidika kimsingi nyie watumishi ni watumwa wa wanasiasa na mmeamua wenyewe kuwa hivyo, hakuna aliyewatuma kutumikia wanasiasa sasa vuneni mlichopanda Idiots!
Ulitaka wawe watumwa wa chaggadema?
 
Niliandikaga humu kuhusu ongezeko la mshahara na gharama za maisha kupanda Ni sawa na kazi bure!,Kuna mimemba ili attack komenti yangu!.

Haya Sasa moja toa moja sawasawa na ngapi Sasa..?

Na sasa hivi Kuna tozo ya kutoa pesa bank dah! Hii sirikali ya Sasa inapenda hela si mchezo!.
 
Niliandikaga humu kuhusu ongezeko la mshahara na gharama za maisha kupanda Ni sawa na kazi bure!,Kuna mimemba ili attack komenti yangu!.
Haya Sasa moja toa moja sawasawa na ngapi Sasa..?
Na sahivi Kuna tozo ya kutoa pesa bank dah! Hii sirikali ya Sasa inapenda hela si mchezo!.
Tozo za bank Zimefanyaje tena?
 
NMB: Mshahara umetoka nyongeza ipo, lakini lazima ucheke tu

Nyongeza ni ndogo sana D wengi wanepewa 55k

A wamepewa 85k

Kweli hesabu ya accounts na ya ualimu darasani ni tofauti sana.
Acheni kqzi tu sisi ambao hatujaajiriwa tunatamani basi hata izowalizo ongeza wangepunguza kwenye mshahara wazamani yaani mshara ndio upungue sio kuongeza natupo tayari kwa kazi nakuimba mama mama mama
 
Back
Top Bottom