Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Ulitaka wawe watumwa wa chaggadema?
 
Niliandikaga humu kuhusu ongezeko la mshahara na gharama za maisha kupanda Ni sawa na kazi bure!,Kuna mimemba ili attack komenti yangu!.

Haya Sasa moja toa moja sawasawa na ngapi Sasa..?

Na sasa hivi Kuna tozo ya kutoa pesa bank dah! Hii sirikali ya Sasa inapenda hela si mchezo!.
 
Tozo za bank Zimefanyaje tena?
 
NMB: Mshahara umetoka nyongeza ipo, lakini lazima ucheke tu

Nyongeza ni ndogo sana D wengi wanepewa 55k

A wamepewa 85k

Kweli hesabu ya accounts na ya ualimu darasani ni tofauti sana.
Acheni kqzi tu sisi ambao hatujaajiriwa tunatamani basi hata izowalizo ongeza wangepunguza kwenye mshahara wazamani yaani mshara ndio upungue sio kuongeza natupo tayari kwa kazi nakuimba mama mama mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…