Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

Kilimo kinasababisha magonjwa ya moyo kumbe.
Sisi wanajeshi wa vyeo vya chini tunastaafu tukifikisha miaka 45.

Hivi miaka 45 ni ya mtu wa afya gani?
Mzee au Kijana?

Acha kuzarau kilimo na ufugaji.
We endelea kutegemea udalali
Hilo trekta used NI UGONJWA WA MOYO WA KUJITAKIA.unaweka kiinua mgongo chako kwenye treatable mwaka mmoja spana mkononi linakushinda unalipaki unaanza kuwaza hela zako
 
Mshahara huu ni mwl aliyekaa kazini miaka zaidi ya 20yrs!
Kuna kijana anaanza Kaz analipwa 2.8m serkalini.. poleni walimu
Labda kwenye Mashirika na Taasisi za serikali LAKINI kama ni kwenye Wizara za serikali HAKUNA hicho kitu. Halafu kwa taarifa yenu ngazi za mishahara za TGS ni ndogo kidogo kuliko TGST za Walimu kwenye ngazi husika.
 
Hilo trekta used NI UGONJWA WA MOYO WA KUJITAKIA.unaweka kiinua mgongo chako kwenye treatable mwaka mmoja spana mkononi linakushinda unalipaki unaanza kuwaza hela zako
Mbona hapa nchini asilimia 90 wananunua magari used na wanatumia kama kawaida katika shughuri zao.
Ila Treka used ndio ugonjwa wa moyo sio.
Unajua bei ya Massey furgusson mpya?
 
Nikistaafu lazima kiinua mgongo changu ninunue trekta la kulima mashamba yangu tu.

Nataka nikapige kazi kijijini.
Sikodishi kwa mtu lisije likaharibika.
Napiga kazi miaka mitatu na kujihakikishia ushindi.

Massey Ferguson used.
Nguvu utakuwa nazo?
 
Back
Top Bottom