Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

Umeelewa nilichokiandika?

Rudia tena .."Basi hapo patakua na mzunguko mkubwa sana, na either we ni specialist au Hosp kubwa ambapo both scenarios utakua unalipwa pakubwa sio sawa na ma MD wa local government."
 
Madaktari ni wa kuheshimu sana jmn ile kazi sio rahisi ni ya kujitoa mno.Pia inahitaji moyo maana kushuhudia watu wakifa almost every day inahitaji moyo
Kweli aisee kushuhudia watu wanakufa kila siku inabidi waongezewe mshahara
 
Wabunge mshahara mnono na marupurupu kibao. Pale bungeni wanazalisha nn? Mvinyo ama?
 
Madaktari ni wa kuheshimu sana jmn ile kazi sio rahisi ni ya kujitoa mno.Pia inahitaji moyo maana kushuhudia watu wakifa almost every day inahitaji moyo
Wanaoshuhudia hayo ni Manesi na sio Madaktari kwa kiasi kikubwa
 
MD aliyemaliza miaka mitano plus mmoja wa internship hamzidi polisi div 4 au ziro aliyekwenda CCP miezi 9.
Kumbuka MD alipitia form 5/6 baada ya kupasua fomfoo.
Fomfoo
 
Boss unaposikia hasara kwenye Kampuni haimaanishi umepata hasara at the current year

Ntakuapa mfano hiyo ATCL imeanza muda mrefu na kuna madeni ya kipindi Cha nyuma ambayo Kampuni ime accumulate hivyo tuseme atcl kapata faida kwa mwaka husika kitakachofanyika Ile faida ita offset hasara za nyuma mpaka zibaki 0 ndio wataanza kutengeneza faida unless Kuna namna ambayo inaweza kufanyika ni kuangalia namna ya kufuta hizo hasara kwenye vitabu ila taasisi unakuta inajiendesha vizuri mishahara watu wanalipwa na maisha yanaendelea
 
Jana nimeona mtu anapost anataka mtoa huduma ya dawa na atamlipa lak1.2,mimi ni assistant dental doctor nakula 8.5private bila makato bado siridhiki natamani niruke japo botswana..japo kuna brother mmja rafiki yangu yupo australia ananisihi sana niongeze elimu ila kila nikifikiria miaka mi5 elimu yenyewe ya kubangaiza naona jau. anadai watu wa afya wanathaminiwa mno kwenye mataifa ya wenzetu na uraia nje nje.....
Shwaaaaaaaaaaaaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…