Mshahara wa Dkt. Ndugulile akishaanza kazi WHO ni noma. Rais wa India akasome

Kwahiyo analipwa Milioni 1 kwa siku
 
Sasa Ndungulile pesa hiyo unadhani anaishobokea na kuiona nyingi?
Mbunge wa Tanzania sasa analipwa karibu milioni 20 kwa mwezi sasa milioni 30 na 20 kuna jambo la kushituka?
Alipokuwa waziri alikuwa analipwa sh.ngapi?
Wakuu wengi wa Taasisi za umma Tanzania wanapata hiyo pesa anayokwenda kulipwa Ndungulile.
Ni pesa nyingi kwako ila si kwa Ndungulile.
Mgodini Bulyanhulu 2015 waliokuwa wanalipwa zaidi ya millioni 30 walikuwa zaidi ya 30.
 
Tatizo wengi expossure hawana
 
Sahihi Tanzania wako kibao hao wa milioni 30 kwenye sekta binafsi za kampuni za kimataifa za mafuta gesi,madini,mabenki marubani, nk
 
Mweee hela ndogo kabisa hiyo. Mchezani mmoja wa simba akisinya tuu contract ya miaka miwilli hiyo ilishaingia bado mshahara wa million 13 na hujaweka bonus
 
HIzo dola kwa mwezi ni takribani dola 11k. Ambapo ni kawaida kwa post kubwa kama hiyo.

Si mshahara mkubwa wa kuanzishia post nenda hapo BOT au TANROAD utakuta kuna vibaba vinakunja zaidi ya hiyo.

Au baadhi ya NGO.
 
Hio ni show moja ya diamond platnumz pale kivu kusini ndio maana mapimbi yanadharau sana shule dah noma kinyama
 
Ukitaka kuona sisi ni masikini kiasi gani pitia ule Uzi wale mabinti walikuwa wakitoa Vocha za bure hapa JF

Yaani Kuna wengine ni Wanaume kabisa lakini nao walikuwa wakigombea hizo Vocha za elfu 1 Moja

Mtu wa hivyo kweli atakuwa na Kipato cha Kumzidi Ndugulile kweli?πŸ™Œ
 
Kama sio nyingi kwake unadhani angeenda kuomba achaguliwe kwenye hiyo Post?

Mkuu hivi unajua pamoja na kulipwa hiyo Mishahara unayosema ya milioni 18 sijui 20 hao Wabunge bado wengi wao wanakuwa Choka mbaya baada ya Chaguzi?

Binafsi Kwa maoni yangu, naona alipo sasahivi huyo Ndugulile ni pakubwa kuliko angeendelea kuwa Mbunge wa Kigamboni
 
Duu yaani mil.80 Kwa mwezi za Madafu? Aisee watu watapoga pesa
 
Duuh huu uzi kila mtu anasema hiyo pesa ndogo, ila cha ajabu akijitokeza mtu humu akasema ana 300M anaomba ushauri afanye biashara gani, utasikia JF kila mtu tajiri mara amka usingizini usije ukajikojolea
 
RC Makonda kila siku analipia million 6.2 tu sehemu ya kulala, bado matumizi mengine usibabaike sana Mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…