kweli? ngoja nichkue boda niwahi hapo kwa hanspop nikiona folen naenda ruco pale sio sana.nikitoka hapo nashuka zangu mashine tatu naenda kuchkua kwioo mzima mzima ikumbukwe mda huo nimeshapiga simu wayamwage yale maharage kwa sasa sio wakat wake.niweke na tumafuta twa elfu 20 petrol kuutisha mtaa.Sio wakati wote tunahitaji kuwa serious Mkuu.
By the way, naona NMB foleni imeanza kuwa kubwa tangu saa 3 asubuhi hii
So hopefully, Hazina imemwaga Mzigo tayari
punguza ushauri mkuuHongereni sana mnaopata mishahara kwa mwezi ,jitahidini muwekeze ili hata siku mshahara ukichelewa msiumize vichwa.
Weeeeh sema haki ya kizimkazi niwahi foleni!Leo tangu saa 3 asubuhi, nimeona foleni ni kubwa hapo NMB, hopefully mzigo utakuwa tayari Kwa Watumishi wengi
Wengi wanahisi kutoa Kwa njia ya Simu inaongeza Mankato, hivyo hupanga foleni kutoa Cash
Sawa mchezo ni dakika 90 tu kama fainali inaongezwa 30 hadi matuta ,waangalie wapo hatua gani maana ni swala la muda tu.punguza ushauri mkuu
Wajinga ni wengi sana nchi hii.Nashangaa sana mkuu, we umeleta taarifa uliyonayo so badala ya yeye nae kuleta yake anakuja kukosoa kosoa na kuleta battle za form one!
Hahaha...............umetisha Mkuu, nimependa plan zako zilizo 😜kweli? ngoja nichkue boda niwahi hapo kwa hanspop nikiona folen naenda ruco pale sio sana.nikitoka hapo nashuka zangu mashine tatu naenda kuchkua kwioo mzima mzima ikumbukwe mda huo nimeshapiga simu wayamwage yale maharage kwa sasa sio wakat wake.niweke na tumafuta twa elfu 20 petrol kuutisha mtaa.
nin bwana. jiv simbankWapo kwenye foleni kwani hawaingii kazini? NMB hawana SIM banking?
hela ni ndogo sana hapo kumbuka salary advance washakata yao. na hawasemag wanakata bei gan. hapo kumbuka kwa mang kuna deni la kama kilo hiv. mana mahitaj yalikata kabla ya mwez nyie wenzetu mna paerdiwm sisi walim je? nasafir kw eda wap? kwa hoo simbanking sitak makato makubwa bora atmAiseee wana safari ndefu sana ,kama mshahara umeingia na wanaona hasara kutoa kwa SIM banking basi wawekeze haraka sana.
Mzigo tayari, usisahau hela yangu ya Kiko tu 😜Weeeeh sema haki ya kizimkazi niwahi foleni!
Mbona kwangu bado!! Ngoja nizime simu na kuiwasha tena labda msg haziji!Mzigo tayari, usisahau hela yangu ya Kiko tu 😜
Duuuh kama ni hivyo sawa aiseee hapo lazima usave hiyo 10 ,10 za makato ya Simu...Maana kwenye kuhamisha unalimwa na kwenda kutoa unalimwa pia.nin bwana. jiv simbank
hela ni ndogo sana hapo kumbuka salary advance washakata yao. na hawasemag wanakata bei gan. hapo kumbuka kwa mang kuna deni la kama kilo hiv. mana mahitaj yalikata kabla ya mwez nyie wenzetu mna paerdiwm sisi walim je? nasafir kw eda wap? kwa hoo simbanking sitak makato makubwa bora atm
Hahaha.............labda Meseji ni nyingi, ufanye kuzipunguzaMbona kwangu bado!! Ngoja nizime simu na kuiwasha tena labda msg haziji!
Hatari Mkuu 🙌Aiseee wana safari ndefu sana ,kama mshahara umeingia na wanaona hasara kutoa kwa SIM banking basi wawekeze haraka sana.
Aaah au babu kuna namna mmefanya kuruka jina langu!!Hahaha.............labda Meseji ni nyingi, ufanye kuzipunguza
Babu mtuache kwanza tulipe madeni🤣Hatari Mkuu 🙌
Hata hivyo bora umewakumbusha kuwekeza mapema, wakijisahau na kufanya makosa kama Sisi Wazee wao, watakuja kujenga na hela za Pension 👊
Hahaha.............ngoja niongee na watu wa IT waliingize kwenye Batch za kwanza kwanzaAaah au babu kuna namna mmefanya kuruka jina langu!!
Ila mie kuna wakati huwa napata hata siku 3 baada ya wengine kupata! Sijui kwanini!!
Umefanya vyema kukumbuka madeni.Babu mtuache kwanza tulipe madeni🤣
Kwanza ushaisha kabla sijaupata🤣🤣Hahaha.............ngoja niongee na watu wa IT waliingize kwenye Batch za kwanza kwanza
Ila kumbuka kadri unavyowahi kupokea mshahara ndiyo unawahi kuumaliza 😜
Hatari 😜Kwanza ushaisha kabla sijaupata🤣🤣