DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Kwa hyo Julaibibi umepata mshahara asubuhi yote hii unakomaa na sambusa! Wengine mshahara kimya mpaka sasatwiga hapo nafatq sambusa. ndio mim mkuu mbna hujanishtua .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hyo Julaibibi umepata mshahara asubuhi yote hii unakomaa na sambusa! Wengine mshahara kimya mpaka sasatwiga hapo nafatq sambusa. ndio mim mkuu mbna hujanishtua .
Ha ha ha umetisha mkuutwiga hapo nafatq sambusa. ndio mim mkuu mbna hujanishtua .
Pole safari hii kuna shido, mi nilipata tarehe 22 usikuWenzangu mmepata salary Nini! Saa 05:54 asubuhi kwangu mshahara ni empty
Una uhakika?Mzigo tyr ingekuw bado vilio na kelele ktk huu uzi hakuna angeweza kustopisha.
Tayari wapi man?Mzigo tyr ingekuw bado vilio na kelele ktk huu uzi hakuna angeweza kustopisha.
We bado mkuu?Tayari wapi man?
sijaupata ila hapo Em R (mr) kwa hao wapemba hunikos kwenye uji. ngoja niingie kwa jamaa zangu hapo hazina ndogo niwaulize lulikolini mwagitooKwa hyo Julaibibi umepata mshahara asubuhi yote hii unakomaa na sambusa! Wengine mshahara kimya mpaka sasa
mapema sanaWe bado mkuu?
Tyr MzeeUna uhakika?
CRDB kwangu imesoma asubuh naamka nakutana na Mzigo wa kushato.Tayari wapi man?
Dah ndio natoka naenda kazini sasa ngoja nipite ATMCRDB kwangu imesoma asubuh naamka nakutana na Mzigo wa kushato.
Yaan mtu mshahara wako ila unaupatia tabuWamechelewa sana kuniwekea Salio mpaka nikahisi wamenitimua kazi maana Leo ni siku ya tatu sijakanyaga job.... Inatakiwa Leo nitandike bapa la konyagi ili kesho nishindwe kwenda job ili tuonane jumatatu.