Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Sio wakati wote tunahitaji kuwa serious Mkuu.

By the way, naona NMB foleni imeanza kuwa kubwa tangu saa 3 asubuhi hii

So hopefully, Hazina imemwaga Mzigo tayari
kweli? ngoja nichkue boda niwahi hapo kwa hanspop nikiona folen naenda ruco pale sio sana.nikitoka hapo nashuka zangu mashine tatu naenda kuchkua kwioo mzima mzima ikumbukwe mda huo nimeshapiga simu wayamwage yale maharage kwa sasa sio wakat wake.niweke na tumafuta twa elfu 20 petrol kuutisha mtaa.
 
Hahaha...............umetisha Mkuu, nimependa plan zako zilizo 😜

Nakumbuka Mwaka Fulani, sisi Wakulima wa Korosho tulipopata hela nyingi za mauzo, tulinywesha hadi Mbuzi zetu Soda 😅🙌
 
Wapo kwenye foleni kwani hawaingii kazini? NMB hawana SIM banking?
nin bwana. jiv simbank
Aiseee wana safari ndefu sana ,kama mshahara umeingia na wanaona hasara kutoa kwa SIM banking basi wawekeze haraka sana.
hela ni ndogo sana hapo kumbuka salary advance washakata yao. na hawasemag wanakata bei gan. hapo kumbuka kwa mang kuna deni la kama kilo hiv. mana mahitaj yalikata kabla ya mwez nyie wenzetu mna paerdiwm sisi walim je? nasafir kw eda wap? kwa hoo simbanking sitak makato makubwa bora atm
 
Duuuh kama ni hivyo sawa aiseee hapo lazima usave hiyo 10 ,10 za makato ya Simu...Maana kwenye kuhamisha unalimwa na kwenda kutoa unalimwa pia.
 
Hahaha.............labda Meseji ni nyingi, ufanye kuzipunguza
Aaah au babu kuna namna mmefanya kuruka jina langu!!

Ila mie kuna wakati huwa napata hata siku 3 baada ya wengine kupata! Sijui kwanini!!
 
Hatari Mkuu 🙌

Hata hivyo bora umewakumbusha kuwekeza mapema, wakijisahau na kufanya makosa kama Sisi Wazee wao, watakuja kujenga na hela za Pension 👊
Babu mtuache kwanza tulipe madeni🤣
 
Aaah au babu kuna namna mmefanya kuruka jina langu!!

Ila mie kuna wakati huwa napata hata siku 3 baada ya wengine kupata! Sijui kwanini!!
Hahaha.............ngoja niongee na watu wa IT waliingize kwenye Batch za kwanza kwanza

Ila kumbuka kadri unavyowahi kupokea mshahara ndiyo unawahi kuumaliza 😜
 
Back
Top Bottom