Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Haya ya kausha damu yanaiva kila siku, usipolipa utashangaa mzee mwenzio ERoni kauawa na watu wa oya
Hahaha............Kwa kilichotokea Kwa Yule jamaa na watu wa OYA, nitamshauri Mzee mwenzangu ERoni anunue manati ya Mzungu ama aajiri Mabaunsa kwaajili ya kuimarisha Ulinzi pindi watu wa OYA watakapokuja kudai madeni yao 😅
 
Ndio wewe nimekuona hapo mashine tatu unakunywa supu ya kongoro kwenye mgahawa wa twiga cafe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…