Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kumbuka hata Novemba salary ilitoka Ijumaa ila wapo baadhi tena NMB wapo walikuja kupata Jumatatu😢
Tatizo huwa linakuwa ni nini? 2010s and 2000s hakukuwa na hizi shida?
Kama checque inakuwa deposited moja, why watu wanapata hela kwa nyakati tofauti?
 
Mimi baada ya kuwa nauliza salio kila muda CRDB SIMBAKING, Wamenitumia ujumbe kuwa wameniwekea 20 ili nisilale njaa siku ya leo. Kesho salio likiingia watachukua chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…