Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Tatizo huwa linakuwa ni nini? 2010s and 2000s hakukuwa na hizi shida?Kumbuka hata Novemba salary ilitoka Ijumaa ila wapo baadhi tena NMB wapo walikuja kupata Jumatatuš¢
Kama checque inakuwa deposited moja, why watu wanapata hela kwa nyakati tofauti?