Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Salary slip kwangu zinafunguka tu kwenye mfumo wa salary slip portal, ila huku kwenye ess sijawahi fungua ikakubali.
Nimeshajaribu mara nyingi tangu huko nyuma ila sijawahi fanikiwa.
Mshahara umeingia kwenye account?
 
Salary slip kwangu zinafunguka tu kwenye mfumo wa salary slip portal, ila huku kwenye ess sijawahi fungua ikakubali.
Nimeshajaribu mara nyingi tangu huko nyuma ila sijawahi fanikiwa.
Mkuu hapo huwezi fungua salary slip ila unachukua hiyo link una copy na kupaste kwwnye chrome unadownload
 
Reactions: K11
Ukiona hujaingiziwa mshahara ujue pepmis yako haijajazwa.

Mi sasa hv nakula jagermaster na mtoto mkaleeeeeee anakula desperado sinyora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…