Mfano kama walivyobadirika wa kilimo toka idara to mamlaka ya mbegu na viuatilifu.Scheme of service katika angle ipi Mkuu ... Scheme of service ni eneo pana ...be specific Kuna remuneration, kujiendeleza kielimu, increments, kupanda madaraja, kubadilishiwa kada ...Sasa sijui unaongelea kipi....
Kwanza tangu mfumo wa pesa kupitia BOT NMB ndio hutangulia kupata pesa kabla ya crdb.Wewe si hukujaza PEPMIS aisee,huwezi kupata.
ngoja tuoneKwanza tangu mfumo wa pesa kupitia BOT NMB ndio hutangulia kupata pesa kabla ya crdb.
CRDB walipokwa tenda ya kuweka mshahara 2016
Wakulima watauza wapi sasa?!Misahara haki yenu ila mnatakiwa kujitambu, jembe na nyudo haikuja bure ,wenda Mw Nyerere alipo lala anawashanga sana na kuwache ,nchi hii msingi mkuuu upo chini ya wafanyakazi na wakulima wala sio mafisadi kupitia biashara za kitapeli tapeli
Mama kwa kweli anajitahidi sana
kimfumo vipi, wamejuaje au kwa ESS
Weka mbali na watoto..Baada ya tukio, Uzi utunzwe pahala watoto hawafikii mpk tena August 22 ushushwe tenaπππππ