Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Sijasema usifatilie...wapi nimeandika hivyo
Mkuu huo ushauri uliotoa af if hawana mipango/budgeting... Jamaa amekujibu hivyo kwa sababu kuna watu wakiona issues ya ku demand mshahara utoke wao wana-term kama waajiriwa hawana mipango kumbe mipango wanayo ila wanautaka mshahara coz ni haki yao na ni moja ya mipango yao.
 
Wakuu ntaanza kutoa Mikopo kwanzia tarehe 25 najua mtakuwa mmemaliza hela yote

Nikikupa 200k ikifika tarehe 20 unalipa 260k ambao mtakuwa tayari muandike majina yenu na kiasi mtakachochukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…