Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Stress? Kumbe unaona kama tuna stress? Weka slip ya salio la account yako bank namimi niweke yangu hapa halafu tuone nani ana stress.
Mhh watu kama nyie huwa hamchelwi kupiga slip za maboss zenu tena ukute ni mhasibu wa kampuni ili uwazugie watu mitandaoni...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…