Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

wakuu mshahara bado ila unaweza kuona salary slip kupitia mfumo wa ESS muda huu. Nadhani hazina wameshaachia pesa katika mabenki ni wao kufanya process ili mshahara uingie kwa kila mmoja. Mi nimeona na nimeona daraja nimepanda bila annual increment. So km unataka kujua nini ni nini ingieni muone salary slip kwa kutumia kishkwambi au computer sim kwangu naona imegoma sijui simu za wengine jaribuni.

Mama anaupiga mwingi
 
Ishi sana mkuu

Mitano tena kwa mama πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ
Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…