Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Leo tarehe 22, mwisho wa mwezi si 31st
Alafu huku Jf kunawatu hamna akili ujue ilmradi mbishe tu. Wakati mwingine ni Bora kutetea watu. Watumishi hulipwa mishahara Yao tar 22 ya Kila mwezi sasa kutimiza mwezi c ni tar 22 ya mwezi ujao. Ishu hata kama wangekuwa wanalipwa tar 10 tunategemea mwezi ujao iwe tar 10 coz watakuwa wametiza siku 30
 

Walimu tuna hali ngumu,umuhimu wetu huonekana kipindi cha kusimamia uchaguzi wa mafisadi ya kijani
 
Acha upumbavu mjinga wewe. Unafikiri kuna mtu yuko serious na thread kama hii? Stupid.
 
Acha upumbavu mjinga wewe. Unafikiri kuna mtu yuko serious na thread kama hii? Stupid.
Akili za watu kama nyie ni ndogo Sana. Yaan ilmradi umepinga tu. Watu wanaeleza Hali Yao ila tu Kwa sababu haikuhusu na ukweli pia hauujui basi tu uonekane na wewe umechangia. Sio lazima Kila thread uchangie kama hujui uhalisia wa jambo
 
Tusipangiane matumizi.
Nikiamua mshahara wote nimtumie maza wangu sawa, nikiamua mshahara wote nichezee kamari ili ikiwezekana nipate double salary sawa. Nikiamua nikampe nabii sawa.
Mshahara huu nataka nichezee kamari.
Ni heri ni take risk katika kidogo ili nipate kikubwa kuliko kubaki na kidogo kisichotosheleza
Nikipoteza sawa tu ndio maisha sitakufa njaa na watoto wataishi.
 
Kwani mshahara ushatoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…