Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mwezi wa saba upi ? Inahesabiwa mwezi ulioajiriwa ndio mzunguko wa mwaka wako hata kweny probation , sio wote wanapata mwezi wa saba ...Mimi napata mwezi wa 10 kweny mzunguko wangu wa kuajiriwa.Punguza uchawa ongea FACTS
Sheria inasema "Increment ni kila mwezi wa saba"
Yeye ni nani asitii sheria?
No one is above the law.
#YNWA
Mwaka wa fedha unaanza july.Mwezi wa saba upi ? Inahesabiwa mwezi ulioajiriwa ndio mzunguko wa mwaka wako hata kweny probation , sio wote wanapata mwezi wa saba ...Mimi napata mwezi wa 10 kweny mzunguko wangu wa kuajiriwa.
Ndiyo mwaka wa fedha unaanzia july.najua mkuu unajua maana ya bajetiMwaka wa fedha unaanza july.
Kila kitu cha fedha kinaanza July.
#YNWA
Bajeti huanza mwaka wa fedha unapoanza.Ndiyo mwaka wa fedha unaanzia july.najua mkuu unajua maana ya bajeti
Mimi niliajiriwa Oktoba hata barua ya probation nilipewa oktoba ya mwaka unaofuata , vivyo hivyo napata increment kila oktoba .Mwaka wa fedha unaanza july.
Kila kitu cha fedha kinaanza July.
#YNWA
Nazungumzia ile icrement ambayo raisi huwa anaitangaza mei mosi, ile ambayo huangalia percentage ya mshahara..Mimi niliajiriwa Oktoba hata barua ya probation nilipewa oktoba ya mwaka unaofuata , vivyo hivyo napata increment kila oktoba .
kmmke🤣Tumbo ndo hua linajamba,matako Ni speaker tu.
Siwezi kubisha labda inategemeana taasisi na taasisi,ila nilipo increment inafanyika mwezi uliopewa barua ya probation mpka utakapogota au kupanda daraja jipyaNazungumzia ile icrement ambayo raisi huwa anaitangaza mei mosi, ile ambayo huangalia percentage ya mshahara..
#YNWA
Acha kazi ukiona ni kazi kufanya kazi ili uone ilivyo kazi kupata kazi.Punguza uchawa ongea FACTS
Sheria inasema "Increment ni kila mwezi wa saba"
Yeye ni nani asitii sheria?
No one is above the law.
#YNWA
Usisahau '"In every action there is equal and opposite Reaction""Acha kazi ukiona ni kazi kufanya kazi ili uone ilivyo kazi kupata kazi.
Unaongelea LilaSiwezi kubisha labda inategemeana taasisi na taasisi,ila nilipo increment inafanyika mwezi uliopewa barua ya probation mpka utakapogota au kupanda daraja jipya
Nilijuaga umejiajiri,kumbe nawe ni mlamba viatu?Mimi niliajiriwa Oktoba hata barua ya probation nilipewa oktoba ya mwaka unaofuata , vivyo hivyo napata increment kila oktoba .
Ajira ni security tena simple shida ni kuhamishwa tu ..Nilijuaga umejiajiri,kumbe nawe ni mlamba viatu?
Tatizo mwaka mmoja kwa maksto ya mshahara unapata kidogo😁😁wa muda mrefu utachukua milioni 10 nakuendeleaTime period
Mikopo ya muda mrefu INAUMIZA.
Bora aivunje kwa mwaka mmoja mmoja.
#YNWA
Unataka uhame ulipo mkuu? Au wanakuyeyushaAjira ni security tena simple shida ni kuhamishwa tu ..
Nitahama tu , shida ni mkoa .Unataka uhame ulipo mkuu? Au wanakuyeyusha
NenoTime period
Mikopo ya muda mrefu INAUMIZA.
Bora aivunje kwa mwaka mmoja mmoja.
#YNWA