Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Punguza uchawa ongea FACTS
Sheria inasema "Increment ni kila mwezi wa saba"

Yeye ni nani asitii sheria?

No one is above the law.

#YNWA
Mwezi wa saba upi ? Inahesabiwa mwezi ulioajiriwa ndio mzunguko wa mwaka wako hata kweny probation , sio wote wanapata mwezi wa saba ...Mimi napata mwezi wa 10 kweny mzunguko wangu wa kuajiriwa.
 
Nazungumzia ile icrement ambayo raisi huwa anaitangaza mei mosi, ile ambayo huangalia percentage ya mshahara..

#YNWA
Siwezi kubisha labda inategemeana taasisi na taasisi,ila nilipo increment inafanyika mwezi uliopewa barua ya probation mpka utakapogota au kupanda daraja jipya
 
Siwezi kubisha labda inategemeana taasisi na taasisi,ila nilipo increment inafanyika mwezi uliopewa barua ya probation mpka utakapogota au kupanda daraja jipya
Unaongelea Lila
Naongelea Fila

Asubuhi njema
Siku njema

#YNWA
#YANGA BINGWA
 
Back
Top Bottom