Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mwezi wa saba upi ? Inahesabiwa mwezi ulioajiriwa ndio mzunguko wa mwaka wako hata kweny probation , sio wote wanapata mwezi wa saba ...Mimi napata mwezi wa 10 kweny mzunguko wangu wa kuajiriwa.Punguza uchawa ongea FACTS
Sheria inasema "Increment ni kila mwezi wa saba"
Yeye ni nani asitii sheria?
No one is above the law.
#YNWA