Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 621
- 1,298
Nchi yetu imeoza inahitaji watu makini waisafishe yote ikibidi ccm aondoke madarakani, sio swala la kumsema mtumishi kwakua anapokea mshahara kidogo na maisha yake duniUna shida ya comprehension!? Wapi umeona nimesema Hilo suala!? Kwani wabunge wa Tanzania wanafanya Jambo gani la ajabu? Sheria za hovyo zinapitishwa yapo tu, utekaji, mauaji, wapo kimya. Kwanza hawastahili ata kulipwa. Wao wametaka kutuwakilisha. Nchi zilizoendelea mfano Scandinavia, yani wanafanya wito. Sio banana republic hizi, eti mbunge anamzidi daktari ela. Ushuzi mtupu.
Nenda ugombee na wewe uwe mbunge ule mema ya nchi, acha wivuUna shida ya comprehension!? Wapi umeona nimesema Hilo suala!? Kwani wabunge wa Tanzania wanafanya Jambo gani la ajabu? Sheria za hovyo zinapitishwa yapo tu, utekaji, mauaji, wapo kimya. Kwanza hawastahili ata kulipwa. Wao wametaka kutuwakilisha. Nchi zilizoendelea mfano Scandinavia, yani wanafanya wito. Sio banana republic hizi, eti mbunge anamzidi daktari ela. Ushuzi mtupu.
Mimi nipo ktk utumishi nangojea mshahara kama wewe tusubirie kesho mzigo usomeAcha uwongo ndugu. Mbona kama una wivu hivi na watumishi wa umma. Serikali haijawahi lipa mshahara kuzidi tarehe 30, kipindi cha mkapa ndio ilikuwa inafika29, alipoingia JK ni 23.
Halafu ni hivii, serikali haingalii mwezi uliopita walilipa lini.
Sisi watumishi tunajua kuna weekends ambazo serikali na mabenki haifanyi kazi, hivyo tarehe 22, 21 , 23, zikiangukia weekend tunajua wazi mshahara hauwezi kutoka.
Hapa tunasubiri leo jioni ama kesho uhakika zaidi
So kama wewe uliacha kazi achana na mambo ya watumishi, kwani unawadai?
Ndo nakuambia mzee labda Enzi zenu mnapokelea dirishaniKazi umeanza 2014 mi nmeacha 2010 na kujiajili haya ngoja nikuachie ujuaji wewe,🙏
Ushasoma aiseeMimi nipo ktk utumishi nangojea mshahara kama wewe tusubirie kesho mzigo usome
Mh. Mbunge si uende kwny thread zinazohusu wabunge wenzako? unatafuta nini huku?UTUMWA. Wenzio wabunge wana mishahara mara 20 ya wakwako. Watoto wanasoma vizuri, hawana mikopo kichaaz, familia zinatibiwa nje. Wapo CCM. Wenzenu wakitaka watoke mnawaona wabaya, mnawatetea watesi wenu. Embu ona jitu zima linalia mtandaoni mishahara ambao haukai ata wiki. Pesa ambayo anahongwa demu ya vocha. Watanzania ni matakataka tu.
Unapata faida kudanganya uma??Ushasoma aisee
Saa ngapi?Ushasoma aisee
Huwa nashangaa mtu anadai aliacha kazi au kajiajiri ila bado anateseka na mambo ya watumishi🤷♀️🤷♀️🤷♀️So kama wewe uliacha kazi achana na mambo ya watumishi, kwani unawadai?
Kesho mapema tu chiefHii unfair
Ngoja tukomae..Kesho mapema tu chief
Siku imeisha hii mkuu, kesho usicheze mbali na ATMKwahiyo leo inapita kama hivi?
DahSiku imeisha hii mkuu, kesho usicheze mbali na ATM
Hivi unajielewa kweli?Wewe pimbi, serikali inatumia ihsani kulipa watumishi hiyo tarehe 23 ndio maana kabla ya Magufuli wakatimwengine watumishi walikua wanaenda mpaka tarehe 5 hawajapokea kitu
Namsema. Hana akili pia.Nchi yetu imeoza inahitaji watu makini waisafishe yote ikibidi ccm aondoke madarakani, sio swala la kumsema mtumishi kwakua anapokea mshahara kidogo na maisha yake duni
Nina maisha mazuri kuliko wewe uliejaa madeni na mikopo Kila Kona, unawaza ujinga tu. Au unaliwa na wabunge?Nenda ugombee na wewe uwe mbunge ule mema ya nchi, acha wivu
Maskini wameridhika na umaskini. Natamani ata mishahara yenu isitishwe ata miezi mitatu ili muwe na akili.Mh. Mbunge si uende kwny thread zinazohusu wabunge wenzako? unatafuta nini huku?