Acha uwongo ndugu. Mbona kama una wivu hivi na watumishi wa umma. Serikali haijawahi lipa mshahara kuzidi tarehe 30, kipindi cha mkapa ndio ilikuwa inafika29, alipoingia JK ni 23.
Halafu ni hivii, serikali haingalii mwezi uliopita walilipa lini.
Sisi watumishi tunajua kuna weekends ambazo serikali na mabenki haifanyi kazi, hivyo tarehe 22, 21 , 23, zikiangukia weekend tunajua wazi mshahara hauwezi kutoka.
Hapa tunasubiri leo jioni ama kesho uhakika zaidi
So kama wewe uliacha kazi achana na mambo ya watumishi, kwani unawadai?