Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ni kwelii hakuna Ada ya chini ya 1m.. pia masomo yake kama una kichwa panzi hutoboi niseme ukweli.
Vipi kuhusu aircraft maintenance engineer?
naona pale NIT diploma ada milion 5 kwa mwaka wakati bachelor milioni 6 kwa mwaka😀😀
Nahisi graduate wake ni cake
 
Vipi kuhisu aircraft maintenance engineer?
naona pale NIT diploma ada milion 5 kwa mwaka wakati bachelor milioni 6 kwa mwaka😀😀
Nahisi graduate wake ni cake
Uhakika hiyo.. ukimaliza unaingia kazini.. labda uwe mchovu sana ndio utakaa benchi.. kuna jamaa yangu yeye amesomea Ukraine kabla ya Vita.. maana kule ndege ndio nyumbani kwake.. wapo vzr.
 
Uhakika hiyo.. ukimaliza unaingia kazini.. labda uwe mchovu sana ndio utakaa benchi.. kuna jamaa yangu yeye amesomea Ukraine kabla ya Vita.. maana kule ndege ndio nyumbani kwake.. wapo vzr.
Ngoja nijipange kwa ajili ya vijana wangu kama vichwa vitaiua vzr maana hiyo kozi bila shaka uwe vizuri kichwani asa sayanso subjects
Mathematics,physics,chemistry na geography
 
Hii course navyokumbuk ni kama wiki 16 hivi..

Na moja ya qualifications uwe umefika A level na uwe na principle passes za Physics, Math, geography etc..

Hii kitu ni ngumu kias na ina license yake..

Majukumu yake ni kama kiungo mchezeshaji.. yaan mambo yote ya kuhusu ndege, mfn flight plan ambazo maruban wanatumia, weight and balance maswal technical ya ndege, calculations za mafuta kupangia maruban schedules etc..

Kingine soko lake la ajira sio TZ tu ni WORLD WIDE. so unawez soma Tz ukaenda fanya kazi Dubai. Ww tu utakapoona kuna fursa.
Anhaaaaa....Na je unaweza Kua rubanii kupitia course hii
 
Back
Top Bottom