Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hahaha nasoma halafu nafuraaahi unafikiri mazuri vile! Mishahara haitishi, hii ni sample ya watumishi wengi ambao tarehe kama ya leo huishi kwa mashaka. Serikali ifanye kitu kuinua kipato cha watumishi wake.
 
Back
Top Bottom