Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

 
Sasa hivi ni saa 12:30 PM

Mshahara bado

Sina nauli sijaenda kazini..

PXL_20240923_092921975.jpg

Yes..

Nimevaa pensi

Nakunywa chai

Maandazi mawili


Imebaki elfu 2

Hope nitatoboa...
 
Back
Top Bottom