Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wangetupa leo tupunguze hasiraFungu limeenda kuweka mafuta na kulipa posho Top Police officers kudhibiti maandamano,mshahara utatoka tar 04 kwezi wa 10.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangetupa leo tupunguze hasiraFungu limeenda kuweka mafuta na kulipa posho Top Police officers kudhibiti maandamano,mshahara utatoka tar 04 kwezi wa 10.
Sikuizi mshahara kuingia tar 23 ile sijui asubuh kama mjomba magu ni nadra sana, ni mwendo wa mchana au dakika zajioooon tar 24... na ukiingia moyo unafanya paaaaaah kama hujategemea yan 😂Wangetupa leo tupunguze hasira
Sa mi nauli napata wapi ya kazini?Sikuizi mshahara kuingia tar 23 ile sijui asubuh kama mjomba magu ni nadra sana, ni mwendo wa mchana au dakika zajioooon tar 24... na ukiingia moyo unafanya paaaaaah kama hujategemea yan 😂
Acha basiiKitu imooooo
Acha bwana..Jumatatu ikiangukia tarehe 23 ni ngumu mshahara kutoka mapema labda utoke jioni yake au siku inayofuata
Hiyo vocha ni ya jero au bukuSasa hivi ni saa 12:30 PM
Mshahara bado
Sina nauli sijaenda kazini..
View attachment 3104163
Yes..
Nimevaa pensi
Nakunywa chai
Maandazi mawili
Imebaki elfu 2
Hope nitatoboa...
Fanya tafitiAcha bwana..
Jero man,Hiyo vocha ni ya jero au buku
Ndio unayotumia kuperuzi,ikiisha songesha inakuhusu
Sio fair kabisaTuendelee kufunga na kuomba
Mi niliwapiga tukio,hawanitaki tenaJero man,
Songesha hawataki ata nisikia
Aisee bado?Hakuna marefu yasiyo na ncha! Tutafika tu