Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
Wameweka increment?Mshahara umeongezeka kiasi sio mbaya, wale wa ushauri punguzeni shobo mkashauri familia zenu majumbani kwenu ukute hata cheque namba hamna mnajikuta keyboard rich gang mafallah sana. Wacha nikanywe bia kidogo