Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara umeongezeka kiasi sio mbaya, wale wa ushauri punguzeni shobo mkashauri familia zenu majumbani kwenu ukute hata cheque namba hamna mnajikuta keyboard rich gang mafallah sana. Wacha nikanywe bia kidogo
Wameweka increment?
 
Umeongezwa sh ngapi
 
Back
Top Bottom