Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
BadoVipi tayari/bado?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BadoVipi tayari/bado?
Una washkaji.polisi?Police wamelipwa
Nautamani uingine hafu hapo hapo nauonea huruma.Huu mshahara wa December hadi huruma!
Bado kakaVipi tayari/bado?
Yaani noma! Ngoja nilipe kabisa deni la mangi lote. Najua January mkopo unahusikaNautamani uingine hafu hapo hapo nauonea huruma.
Czan tusubiri.Hivi jumamosi tunaweza kulipwa?
Jan mikopo mingi mshahara huu ndo wa xmass,new year na Ada jmn.Yaani noma! Ngoja nilipe kabisa deni la mangi lote. Najua January mkopo unahusika
NomaJan mikopo mingi mshahara huu ndo wa xmass,new year na Ada jmn.
🤣🤣🤣🤣 huu mshahara umejaa tamu chungu.Nautamani uingine hafu hapo hapo nauonea huruma.
Yaan kama utumbo nimejifungia ndani.Wazee nimeweka simu jirani kila nikisikia sms nashika simu lakini wapi
Nyie vipi huko
Nakwambia hapa sielewi kwa kweli sms za SGR nazo haziko nyuma kila mda kata ticket sasa ticket bila hela!!Yaan kama utumbo nimejifungia ndani.
NMB wanajiambia nisiishi kinyongeNakwambia hapa sielewi kwa kweli sms za SGR nazo haziko nyuma kila mda kata ticket sasa ticket bila hela!!
Vuta Mshiko Fastaa!!NMB wanajiambia nisiishi kinyonge
Aisee labda 2025 tutabadirika.Huu uzi una watu wanavituko sana! 😆😆
Alosto ya mshahara
Mshahara mpaka tar 23 Dec, 2024Aisee labda 2025 tutabadirika.