Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Kweli wewe NI mwiba
Aisee dah sijawahi kupata bahati ya mwanamke anaeomba vijihela kabisa mimi naangukiaga kwa maindependent woman tu yaani mpaka kero unakuta dinner anataka alipe yeye hadi ukilipa linanuna. Nikizubaa nanunuliwa mpaka boxer sio kwamba ni mishangazi hapana mwanamke mwenye mishe zake saaafi sasa ninamiss umwamba kwelikweli. Nisogezee huyo nihongehonge na mm nijione mwamba atleast.
 
Au unalipwa laki 2 kama mwalimu??
Hivi walimu wanalipwa laki 2 kweli? Au ni uchonganishi tu?
Mbona wanajenga, wanasukuma ndinga kama IST, VITZ PASSO n.k, na watoto wao wanasoma shule za private (sio wanazofundisha wao)
Sasa inakuwaje mnawananga kila siku kana kwamba wao ndo wa mwisho kabisaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kma wewe ni kahaba kimbia haraka usijepotezewa muda na pesa
Ivi kwanini Kila mwanamke unamwona NI kahaba Tu??
Kha, kweli Afya ya akili mnaumwa wengi
Huo ndiyo ukweli, huwezi mbagua mmeo kisa kipato, labda kama upo kimaslahi..
 
labda kama anafanya kazi kwenye shule wanazolipa ada mil 2 - 4 kwa mwaka
 
Mwabiee



Ruuuuun bieeeetttch ruuuun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…