mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Mkuu usitumie nguvu kumwelimishaInamaana hujui process zinazopelekea formation ya mvua? Mvua hailetwi na mtu.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Sikia ww ucfikir sis darasan hatukwenda najua kila kitu kuhusu hii dunia achilia mbali process za formation of percipitation GOD is behind allInamaana hujui process zinazopelekea formation ya mvua? Mvua hailetwi na mtu.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Unajifanya shule imekaa kichwan sasa ebu nikuulize UNIVERSE ina ukubwa kias gan ?Mkuu usitumie nguvu kumwelimisha
Mwache abaki na ujuzi wake na huyu mungu mleta mvua
Unajua kila kitu right?nieleze parallel universe ni nini na jinsi gani unaweza kufungua cosmic gateway kwenda kwenye dimensions tofauti tifauti za multiverseSikia ww ucfikir sis darasan hatukwenda najua kila kitu kuhusu hii dunia achilia mbali process za formation of percipitation GOD is behind all
huyu dawa yake umuite kilingeni kwa kutumia chungu ali afafanue vizuri uongo wako.Hebu nikumbushe ni post gani tafadhali nilisema hivyo ili nipate nafasi nzuri ya kujitetea kwakuwa tayari umeshanipachika sifa ya UONGO
hizi mzee ni theories ambazo kuzijua unazijua for fun tu,,hazina matumizi yoyote in real world wala proof...ni sawa na kujua movie za johhny depp yani sio lazma kila msomi ajue.Unajua kila kitu right?nieleze parallel universe ni nini na jinsi gani unaweza kufungua cosmic gateway kwenda kwenye dimensions tofauti tifauti za multiverse
Ebu kunywa soda nakuja kulipia kuna watu wanasoma ili tu waende kulingishia wenginebeti nayey kasomo kitu alichokisoma chenyewe ni useless in real world mbaya zaid ni theoryhizi mzee ni theories ambazo kuzijua unazijua for fun tu,,hazina matumizi yoyote in real world wala proof...ni sawa na kujua movie za johhny depp yani sio lazma kila msomi ajue.
Zingekuwa facts kama precipitation hapo swali lako lingekuwa Valid.
[emoji3][emoji3][emoji3]huyu dawa yake umuite kilingeni kwa kutumia chungu ali afafanue vizuri uongo wako.
Mkuu haina haja ya kusumbua akili kwa kitu kama hicho just Google tu kila kitu kipoUnajifanya shule imekaa kichwan sasa ebu nikuulize UNIVERSE ina ukubwa kias gan ?
sasa wachawi mkikutana kazini unajuaje huyu ni wa primary,degree au phd?Hili weng hawalijui uchaw ni km vile shule kuna primary.secomdary.certifacate.diploma.degree.masters .phd & professor uchaw ambao umefika degree ni ngumu kuuzuia uamin usiamin otherwise ni MUNGU ndio anaweza kukuepusha so usiache KUSALI
[emoji3][emoji3][emoji3]uchawi haupoIpo hivi wachawi hawapatan baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini
Maji ya mvua !!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe
Maji ya bahari !!! Hii nadhani mshana ashalezea maji hayo yana chumvi na hivyo yana sifa ya kuzuia uchawi pia huko baharini kuna mapepo makubwa hivyo wachawi hawawezi kufua dafu so proved uchawi haukatizi bahari unaweza mloga mtu asitibiwe hapa ila akaenda India akatibiwa vizuri tu
Maji ya baraka !! Uchawi na maji ya baraka haviivi ukirusha maji ya baraka mahali penye uchawi yanarudi tena kwenye chupa yaani ni kama rewing fulani hivi
Sasa kuna maji ambayo wachawi huyachezea vzr tu ni maji ya mito.mabwawa na maziwa haya maji yaogope sana wachawi wanayatumia sana tu
Na pia kwa kukuongezea kuna haya maji ya visima virefu underground water haya pia wachaw wanaogopa sababu yana chumvi
Natafuta mtu wa kuniroga ili nijue kuwa kweli uchawi upo.Binafsi naamini sana ktk Imani yangu ya Kikristo.Naamini Mungu ndio master wa kila kitu.Ni kweli kabisa siwezi kulikana hilo
Kwahiyo mvua inatokana na precipitation au Mungu?Sikia ww ucfikir sis darasan hatukwenda najua kila kitu kuhusu hii dunia achilia mbali process za formation of percipitation GOD is behind all
Nimesema ni process of formation but GOD is behind all ujaelewa tuKwahiyo mvua inatokana na precipitation au Mungu?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Toa offer kwa mkataba kabisa una sh ngap maana hatuwez kufanya kaz za kipuuz ili tu watu waona kitu fulan weka dau Mshana Jr we have the work to do lile duguli la kashabakenge lipo ngojea aweke dau mtu tumchezeshe titi for tat afu tumrudishe alete ushuhudaNatafuta mtu wa kuniroga ili nijue kuwa kweli uchawi upo.Binafsi naamini sana ktk Imani yangu ya Kikristo.Naamini Mungu ndio master wa kila kitu.
Power !! Mchawi mwenye level ana nguvu sn na sio rahis kunasa kwenye mitego midogo na huwa hawafi mapema maana riho zao ni ngumu wanajua dawa nying za mitishamba kuliko ata profesa pia kuna signal za kumjua mchaw na level yke hii ni siri maana ata mchana wa jua kali wachaw wanajuana ata wakitembea apo kariakoo na wanajuana vyeo vyao pia na ndio maana hawa wachaw wanaoanza wanaponasa sehemu wanachofanya ni kupiga simu kwa mkubwa wao ili aje awanasue hiz simu ntakuja kuziandikia threadsasa wachawi mkikutana kazini unajuaje huyu ni wa primary,degree au phd?
Wewe Ni mshirikina kwani? Kumbuka Mshana Jr yeye Ni mshirikinaIpo hivi wachawi hawapatan baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini
Maji ya mvua !!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe
Maji ya bahari !!! Hii nadhani mshana ashalezea maji hayo yana chumvi na hivyo yana sifa ya kuzuia uchawi pia huko baharini kuna mapepo makubwa hivyo wachawi hawawezi kufua dafu so proved uchawi haukatizi bahari unaweza mloga mtu asitibiwe hapa ila akaenda India akatibiwa vizuri tu
Maji ya baraka !! Uchawi na maji ya baraka haviivi ukirusha maji ya baraka mahali penye uchawi yanarudi tena kwenye chupa yaani ni kama rewing fulani hivi
Sasa kuna maji ambayo wachawi huyachezea vzr tu ni maji ya mito.mabwawa na maziwa haya maji yaogope sana wachawi wanayatumia sana tu
Na pia kwa kukuongezea kuna haya maji ya visima virefu underground water haya pia wachaw wanaogopa sababu yana chumvi
Sikia ww kila mtu na taalum yke huwez kuchukua vitu ambavyo vpo kwenye ni specific afu uniulize mm niulize vitu generalMkuu haina haja ya kusumbua akili kwa kitu kama hicho just Google tu kila kitu kipo
Haya nawe niambie voire dire test ni nn