Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

Natafuta mtu wa kuniroga ili nijue kuwa kweli uchawi upo.Binafsi naamini sana ktk Imani yangu ya Kikristo.Naamini Mungu ndio master wa kila kitu.
Uchawi nguvu roho isiyohitaji kujidhihiri kama unavyotaka wewe ...uchawi upo ni juu yako kuamini ama la
 
Ukitaka kumjua mchawi mchana jua kali unafanyeje?(for education purposes)kama una nia njema
 
ukitaka kumjua mchawi mchana jua kali unafanyeje?(for education purposes)kama una nia njema
Njia rahic kuwa mchaw nyingine ni ngumu ila kuna dawa unaweza kuwaona ila ni hatar maana nao watajua unawaona
Please dont try
 
Njia rahic kuwa mchaw nyingine ni ngumu ila kuna dawa unaweza kuwaona ila ni hatar maana nao watajua unawaona
Please dont try
Mi naulizia hiyo ya ishara wanayotumia kujuana...nambie hvo hvo hata kama ngumu
 
mi naulizia hiyo ya ishara wanayotumia kujuana...nambie hvo hvo hata kama ngumu
Ok isiwe kesi mchana akitembea mchana kuna taa inawaka ktk ya paji la uso izo wanaweza kuziona wao tu ivo wanajuana ata wakipishana njian
 
Ok isiwe kesi mchana akitembea mchana kuna taa inawaka ktk ya paji la uso izo wanaweza kuziona wao tu ivo wanajuana ata wakipishana njian
Kwahyo cheo wanajuanaje? Au cheo kidogo ana chemli alafu cheo kikubwa ana Taa kama zile za barabaran?
 
Braza Mshana Jr ni kwel?
Vyeo vya wachawi vinapatikana kwa kumwaga damu nyingi na ile inayouma (ya familia au ndugu)
Utambuzi wake kwa wasiojua ni mabangili na pete za shaba
Kila Pete moja inawakilisha nafasi moja na bangili vilevile
Kwa baadhi ya makabila utambuzi ni mavazi au shanga na wengine ni idadi ya chale mwilini ama makovu ya moto na visu mwilini
Utambuzi kwa njia ya mwanga ni too professional na ni kwa high ranks
 
Ahahaha Kuna adi simu
 
Hili weng hawalijui uchaw ni km vile shule kuna primary.secomdary.certifacate.diploma.degree.masters .phd & professor uchaw ambao umefika degree ni ngumu kuuzuia uamin usiamin otherwise ni MUNGU ndio anaweza kukuepusha so usiache KUSALI
Umewahi kushuhudia au kuuthibitisha uchawi?
 
Duh!!Ulivyosema ni too professional utadhani uchawi ni proffesion..kuna wachawi wasomi?
 
Duh!!Ulivyosema ni too professional utadhani uchawi ni proffesion..kuna wachawi wasomi?
 
duh!!Ulivyosema ni too professional utadhani uchawi ni proffesion..kuna wachawi wasomi?
Ni ujuzi kwenye kaliba yake..ujuzi si lazima uwe wa shule lakini vilevile kuna vyuo vya uchawi na kuna elimu ya uchawi hutolewa huko vilingeni
 
Yeah there is professionalism in witchcraft
Hii wewe mkuu na renamaizo naomba mnijibu.(muhimu)
Katika story za mtaani tunasikia ni kuwa Rank za juu za wachawi huwa wanawasiliana na shetani..Je ni kweli?Unaamimi uwepo wa shetani?Je uchawi/wachawi ni watumishi wake?
Na vipi kuhusu freemasons?wanahusiana vipi na uchawi?
 
Kila kitu duniani kina upande wa pili ama kina kinyume chake ....
Uchawi ni kinyume cha Nuru...ndio maana unaitwa nguvu za giza
Shetani ni kinyume cha Mungu...na shetani ndio mkuu wa giza
Freemason ni sehemu ya mkakati wa shetani wa kuchota waumini kama ilivyo kwa uchawi tuu
Wakati uchawi ukijipambanua kama nguvu hasi ya moja kwa moja freemason inajipambanua kama kaliba ya juu na ya kuheshimika
 
Unataka shilingi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…