Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

Mshana Jr,sasa mbona nikiwacheki Wasukuma na Wamasai wanavaa sana hayo mabangili,je nao ni washirikina?
 
"Sasa kuna maji ambayo wachawi huyachezea vzr tu ni maji ya mito.mabwawa na maziwa haya maji yaogope sana wachawi wanayatumia sana tu"

Kwahiyo maji hayo wachawi hawayaogopi kwa kua hayajaletwa na Mungu?
 
Uchawi sio visible ni jambo la kiroho zaidi lisilo na ithibati za kisayansi
Uchawi sio substance kwamba utauona kwa macho
Uchawi ni nguvu ambayo huthibitika kwa matokeo na si mchakato
Dah!!!!,Kwa hiyo ni vigumu hata kuelezea MKUU ??,
 
So to be blunt..waumini wote wa uchawi na freemason wanajua wanayemtumikia?Au kuna blind sheep.

Ni kweli wachawi rank za juu huenda kuzimu/huwasiliana na lucifer?
 
So to be blunt..waumini wote wa uchawi na freemason wanajua wanayemtumikia?Au kuna blind sheep.

Ni kweli wachawi rank za juu huenda kuzimu/huwasiliana na lucifer?
Kuingia huko ni lazima ule kiapo cha kumtumikia shetani ni kama tu kusilimu ama kubatizwa
Ranks zote zina connection na kuzimu
 
Kuingia huko ni lazima ule kiapo cha kumtumikia shetani ni kama tu kusilimu ama kubatizwa
Ranks zote zina connection na kuzimu
help me understand this logic.
Kama wanajua pande zipo mbili
Mwanga na Giza
Wanajiunga upande wa giza wakijua kabisa huu ni upande wa giza
Wanaupinga vikali upande wa mwanga

Je,Wanaamini upande upi wenye nguvu?wanaamini upande upi upo sahihi?
 
Giza lina ushawishi mkubwa kuliko mwanga
 
Unafunguka yote hayo mala paa nimama ako mzazi, sorry nimewaza2 kwa saut me napita2๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ