Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Wewe hujanahatika kuniona tuu,wake za watu hawaishi kujigonga gonna ,na mimi nawapelekea moto ,juzi tuu nimetumiwa 600,000ya sikukuu
 
Ramadhan Kareem.

Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Hii point ya mwisho ina ukweli,hata mie nilishawahi kukutana uso kwa uso na Mshana Jr Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr naona umepewa pass za Msonda anakupa pass harafu yeye anasimama asiwe offside na zingine anakwita kabisa Mayele jamaa sio mchoyo yule hili swala la pass kwa forward ukikosa kama yule mshambuliaji wa Bayern vs Man u 1999 aligongesha mwamba akiwa yeye na kipa ilibidi kocha amfanyie sub...
 
Mshana Jr naona umepewa pass za Msonda anakupa pass harafu yeye anasimama asiwe offside na zingine anakwita kabisa Mayele jamaa sio mchoyo yule hili pass kwa forward ukikosa kama yule mshambuliaji wa Bayern vs Man u 1999 aligongesha mwamba akiwa yeye na kipa ilibidi kocha amdanyie sub...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom