sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa amekufikisha tu huna jipya [emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa amekufikisha tu huna jipya [emoji41][emoji41]
M nakutafuta seriously PM Yako imefungwaNitafute [emoji23]
Kashautafuna long time mkuuuuUmempa sifa nzuri, mpe na mzigo
Umetumiwa na mke wa mtu sioWewe hujanahatika kuniona tuu,wake za watu hawaishi kujigonga gonna ,na mimi nawapelekea moto ,juzi tuu nimetumiwa 600,000ya sikukuu
Kama kawaida huwezi kosa vipaji vyoteUmetumiwa na mke wa mtu sio
Daaah kongole kwako 👍Kama kawaida huwezi kosa vipaji vyote
Nacho ni kipaji kulifanya jimama kulia LiaDaaah kongole kwako 👍
Ok sawasawaMimi ninafani yangu nimesomea kabisa hapo udsm
Ni kweli asee kila mtu ana mechi yake ya kushinda 😁😁😁Nacho ni kipaji kulifanya jimama kulia Lia
Hii point ya mwisho ina ukweli,hata mie nilishawahi kukutana uso kwa uso na Mshana Jr Mshana JrRamadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.
Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.
Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.
Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.
Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.
Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.
Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.
Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
[emoji16][emoji16][emoji16]Iki uu ni munyu kana ni sukari[emoji848]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mshana Jr naona umepewa pass za Msonda anakupa pass harafu yeye anasimama asiwe offside na zingine anakwita kabisa Mayele jamaa sio mchoyo yule hili pass kwa forward ukikosa kama yule mshambuliaji wa Bayern vs Man u 1999 aligongesha mwamba akiwa yeye na kipa ilibidi kocha amdanyie sub...