MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu

Hapa umetumia akili vyema big up
Hata INZI akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Besti hata kama ni hivyo mbona kabla ya korona hawakuwa wanapanga mstari hivyo
Wanawasaidia kumbuka hata kazi za usafi kwenye ma Zara na H&M hazipo maana nchi ni Lockdown. Hapo kuna watu warabu,weusi na wa ulaya mashariki .
 
Utumwa mwingine huu, kwahiyo wewe umeenda hapo ukawasachi vitambulisho vyao hao wote kwenye foleni na ukajua sio waswisi asilia? Umetumia uchawi gani?
 
Kweli mkuu hiyo habari ni kweli kabisa, serikali imetangaza wanaohitaji chakula wakachukue yaani kwa wale wasiokuwa na chakula


Basi sawa sasa mtoa mada katoa habari kinafiki sana ...utadhani uswizi imekuwa na hali ngumu kama ya Tz .
 
Hizi data zako tunaomba source tafadhali
 
Hao wengi watakuwa jamii za watu wa asia wanaofanya kazi za vibarua, wazungu wenyewe orijino walishaweka mitego yao kitambo sana...na ukikutana nao mara nyingi wanapiga misele tu town...
Vipi, unapiga ramli siku hizi?
 
Basi sawa sasa mtoa mada katoa habari kinafiki sana ...utadhani uswizi imekuwa na hali ngumu kama ya Tz .
Mkuu haiwezekani nadhani serikali imewahurumia wageni ambao wengi wanafanya kazi za part time ndio maana imetangaza Kama unashida na chakula au huna waende wachukue bure kila siku wanataka kuanzia next week iwe kila mtaa kwenye mall maalum ili watu wachukulie maeneo ya karibu na walipo
 
Mkuu haiwezekani nadhani serikali imewahurumia wageni ambao wengi wanafanya kazi za part time ndio maana imetangaza Kama unashida na chakula au huna waende wachukue bure kila siku wanataka kuanzia next week iwe kila mtaa kwenye mall maalum


Asante kwa ufafanuzi
 
Waje huku tuwafundishe namna ya kuishi naye huyo Corona..
Kwakweli waje wajifunze kwenye shamba darasa namna ya kuishi na corona kama malari, taifodi na kichocho. Saf kabisa bila tashwishwi yoyote ili waendelee kuchapa kazi na kuendeleza uchumi wao ulio imara na bora kabisa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…