Tofautisha utajiri wa pesa na utajiri wa chakula. Kuna muda pesa inakosa thamani kwasababu vitu vinakua havipatikani kwasababu ya lockdown, watu hawazalishi vyakula.
Njombe
US watu wanapanga foleni ya chakula cha bure.
Wazungu kabisa wa US na ninaona live Kila siku.
Ndo mjue lock down sio mchezo.
Watu HAWAFANYI kazi watapata wapi hela.?.
Na afadhari hyo serikali inawajali hao raia.
Hivi unadhani magufuli atakuwa anagawa chakula akitangaza lock down?.
museven kajitahidi kuwapa wananchi wake kilo 6 za unga na kilo tatu za maharage.
Zimepita karibia wiki 3 sasa hivi kimyaaaa hagawi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
US watu wanapanga foleni ya chakula cha bure.
Wazungu kabisa wa US na ninaona live Kila siku.
Wale jamaa wa kulilia lock down hauwezi kuwaona hapa.
Sijui waliwaza nini?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Izo foreni apa Africa zingereta shida sana, angetokea mzeee mmoja akaaribu ustaarabu na fujo ingechachamaaaMzuka wanajamvi
Kamwe usingewaza tukio kama hili kutokea Uswizi. Korona (pathetic virus) imeleta shida kwa kipindi kifupi sana. View attachment 1446109
Yani watu Uswizi wanapanga foleni ndefu tena ya zaidi kilometre moja kupewa chakula cha bure tena wanawahi kupanga mstari kwaanzia saa kumi na moja asubuhi.
View attachment 1446109View attachment 1446113
Kwa sasa hivi Uswizi imethibitisha watu 30, 305 wana maambukizi ya korona na vifo ni 1800.View attachment 1446121
Uswizi ni nchi inayoongoza kwa maisha bora na malipo mazuri ulaya na duniani hata kwa wabeba boksi.
View attachment 1446118
Hata kwenye kati ya jiji Tajiri duniani Geneva hali ya uchumi imedorora na imeleta hali ngumu ya kiuchumi kwa watu waliokuwa wanafanya kazi kwenye housekeeping, hoteli, migahawa, kilimo na ujenzi
Sijui Tanzania imeingiaje hapa, ila nia yamgu ni kumuonyesha niliyem-quote kuwa wazungu wa US wanapanga foleni kubwa tu kupata chajula cha bure. Tofauti na dhana yake kuwa ni wahamiaji ndio wanafanya hivyo.Kupanga kupata chakula cha bure siyo tatizo. Hapa ni suala la kuchagua - kuokoa maisha ya watu ama uchumi. Hakuna mtu anayesema lockdown haina madhara. Ni issue ya kuchagua kati ya mali na maisha ndio inayoongolewa. Waswisi ama Wamarekani ama Waingereza kupata chakula cha bure haku-justify hata kidogo kile kinachofanyika Tanzania.
Tanzania wachawi wameyeyusha sukari inapatikana Gamboshi peke yake
Ni nchi kama Uswisi. Usipofanya kazi, huli.USA siyo rich kama Uswisi!
Ni nchi kama Uswisi. Usipofanya kazi, huli.
Na ndio maana imemudu kuwalisha raia wake. Ingekuwa nchi maskini isingemudu kuwalisha raia wake. Kwa ufupi, thread yako inajijibu yenyewe na wala haukutakiwa kushangaaUswizi ni nchi inayoongoza kwa maisha bora na malipo mazuri ulaya na duniani hata kwa wabeba boksi.
Anaye zalisha ni nani ilihali hata wazalishaji wapo lockdown (stay home). Anaye fungua duka au hotel au kiwanda ni nani ilihali wote wapo home lockdown. Anayekwenda kazini kuzalisha hivyo vyakula ni nani mkuu. Tumia akili kidogo basi uelewe hii point yangu.Hakuna uhaba wa chakula Ulaya, wana chakula kingi mpaka wanamwaga, wana kila teknolojia ya kuzalisha chakula hata cha Maabara, ...
Anaye zalisha ni nani ilihali hata wazalishaji wapo lockdown (stay home). Anaye fungua duka au hotel au kiwanda ni nani ilihali wote wapo home lockdown. Anayekwenda kazini kuzalisha hivyo vyakula ni nani mkuu. Tumia akili kidogo basi uelewe hii point yangu.
Kwa kuongezea tu watu wanao weza kuwa vyakula ni wakulima tu ambao wamelima vyakula vyao wenyewe na wamevihifadhi. Matajiri wenye pesa nao pamoja na pesa zao kama hawajanunua chakula kabla ya lockdown lazima wateseke.
Wewe kidogo unaelewa umejitahidi but sio mbaya kwanza kabisa nianze kuweka sawa Migros sio government ni private owned so tusiingizane chaka kipuuziHakuna Mswisi asilia hata mmoja kwenye hiyo foleni, Mswisi hawezi kupanga foleni ya chakula cha bure leo hii, itachukuwa miaka 20-50 mfululizo ya ,,lockdown” Mswisi kufikia hali hiyo, na Mswisi akifikia hapo ujue Duniani kwingine watakuwa wameanza kula watu, ...
Swiss population ni 8.6 million people which is 660k ni non swiss na wakimbizi hii nchi isikie tu usijidanganye kabisa level ya development hapa ni miaka 2500 ijayo kwa huko kwetu kwa mzee jiwe kiburi, unawajua mateja ambao huko kwetu wapo vituo vya daladala wanapigwa debe?? Uswiss wanapewa unga bure hawanunui yani jobless anapewa social support unaongelea kitu ambacho nafikir haukijui.
ThanksPoor ni relative term, kwa maana ya kwamba mtu anayeitwa ,,poor” Uswisi pesa anayolipwa kwa mwezi na Serikali kwa TZ yetu ni upper middle class, isitoshe, wana vigezo tofauti kabisa na vyetu vya kupima umaskini, na hao wanaoitwa masikini > 85% siyo Waswisi asilia ni wageni/wahamiaji kutoka third World na Ulaya ya Mashariki, ...