Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

Kuna ufala mwengine ndo maana corona inatupiga kinyoko sasa we ulitakaje au tumshauri amwache uleee Mjomba
 
Hahahha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ameoa anaye mfahamu vizuri, stamina alioa ambaye hamfahamu yakamkuta.
Jamaa sio ndugu yake alikuwa rafiki tatizo liko wapi? Ulitaka dada yako aolewe na nani
ko kwakua unamfaham dada yako vizuri unaweza kumuoa
 
Hata usipoenda harusini itafanyika tu. Kwani wewe ndio bibi harusi so usipoenda hakuna harusi?
 
Tumejua dada kaolewa na Dr, familia mtafundishwa kujikinga na corona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daadeki hizi comment hizi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi wako ambao ndo wanajua uchungu wa binti yao wamefurahia sana maana yake mwamba wamemkubali atawatunzia binti yao vizuri.

Wewe fanya ku-take it easy. Ila wanalumumba vichwa maji sana nyie sijui akili zenu zinakuwa na funza gani.

Samahani kwa niliowakwaza sikuwalenga wote.
 
Ikifika mida hii jamaa yetu.anapata tabu sana. Anafikiria dahhh dada angu anakaribia kuchezea ukuni wa rafiki yangu saa hz
Acha uboya ndugu kila anaeolewa ni dada wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kumuoa nduguyo brother. Mimi nikikwambia safari ya kupata mke unaweza kuniona mbaya kabisa. Mtu anayeoa ni mzuri x1000 kuliko anayekula kwa kuibia na mwisho anambwaga.
 


Kwenye harusi nenda ila si sawa kwa alichofanya kwenu. Ushauri ninaokupa ni kumbaka huyo jamaa kisha nenda kamsanifu kwenye harusi yake uone kama atakusalimia.
 
Shida ni yeye kuwa maskini au hupendi dada yako aolewe au unataka uolewe wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…