Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
- Thread starter
- #141
Unajua kutofautisha kati ya ndugu na rafiki?Mm imenitokea na jamaa yupo humu, tumejenga karibu. Tunaishi kwa amani kabisa, hapa familia yangu ilienda kushinda Kwake leo ndo natoka kuichukua. Sio issue mkuu, waombee tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki yako mnaweza kuambiana jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni, shemeji yako mtajadili hayo?
Huyo siyo rafiki tena ni shemeji
Sent using Jamii Forums mobile app