Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

😃😃 baba yake anajicho la3. so baada ya kugundua kuwa rafiki wamtoa mada nimtu fulanihivi special akaamua aanze kumuandaa mapema ili aje kuwa mkwewe...sema mtoa mada ameshindwa kuyaona maono ya baba yake
 
😃😃😃
 
Kiukweli iyo haina tofauti na mtu msaliti....ilikuwa kama dada ake japokuwa kuna element fulani kwako labda ulikuwa unalamba maana siku hizi fashion watu kulana huko mageti makali,(kuna mbwa wakali)

Sent using ubishi.com
 
Huyo jamaa alikosea kumtundika mimba dada yako,ilitakiwa akutundike mimba wewe ili uache kutoa kijambio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa namna ulivoandika inaonesha una hasira sehemu zote kooni, kifuani, kichwani, tumboni, na mikonon na kinacjokuuma zaidi dada ako kupachikwa mimba na Kisha kuolewa! Duuuh sipat picha Kama unawashwa mwili mzima vile Kama nakuona hiv duuh pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutafuna na kuoa ni vitu tofaut, kutafuniwa ni kuharibiana madada kuoa ni kuboresha undugu, japo urafk utafifia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningeshangaa kama wewe ndo unaolewa, ila hapo hakuna tatizo istoshe umesema umekua pamoja naye home wanamkubali, shida ipo wapi?, angekuwa muhuni flani hivi hapo sawa!!
 
Mawili huyu jamaa anamdharau mshikaji wake kwamba ni choka mbaya au amepitwa kimafanikio na mshikaji wake anaona wivu wamesoma wote na amepitwa kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Usikubali muoe dada ako nadhani nyie ndo mnaendana
 
Bora wew,mim Kuna jamaa aliishi nyumban alkuja rudia darasa la saba,baadae wakakutana na Dada angu Mkubwa huko dar,jamaa akatumia vitu sana tu,naona baadae sister alimlazimisha amuoe,jamaa akatuma wazee wake ambao n ndugu zetu lakin baadae jamaa alichomoa alishia kutoa kishika uchumba
 

Kwa hiyo ulitakaje umuoe au nan amuoe ...hivi nyie ni jinsia gan mna mambo ya kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…