Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?


Wewe ni bwogazi i wish ungezaliwa wa kike
 
Hapo ndio urafiki wenu utaiva kuliko hapo awali mkuu. Hata usiumie.
 
comments za hapa zimenivunja mbavu, daah pole sana mtoa mada.
 
Unajua kwanini baba yako kakubali jamaa amuoe. Amesha ona jamaa ni mtu wa aina gani kwani ameishi nae kwa zaidi ya miaka miwili. Ndio maana alimlipia ada na kumshonea uniform willingly.
 
Kwa hiyo ulitakaje umuoe au nan amuoe ...hivi nyie ni jinsia gan mna mambo ya kijinga
Mi skumaindi nilchukulia poa,nilikuwa nampa mifano mtoa Uzi ili aone wake kaolewa n jambo zuri,sie wetu waliishia kupgwa tu,tatzo mijitu ya jf mkogo spidi kwenye button bila kufikirii aliecomment alimaansha nn,watoto wamekuwa wengi na vivulana humu
 
ulitaka jamaa akuoe wewe?
 
Mkuu kipindi anakuja home kwenu!kumbe sister ako alimletea shobo akawa anajichapia tu,ukiangalia TV yeye anakutoroka anakugongea dada hahhaa mwamba mkali!Ila fresh amerudisha fadhila au kwani k yako?mbonaa Kama unamfokea mshikaji
 
daah kuna msela wangu namkulia dada yake , tunapiga yetu mkoa mmoja hivi akija huku anakuwa mke kabisa , me sioni kama namkosea heshima maana hii kama kazi ya uma ukigoma mshahara mdogo kuna watu watafanya hata bure
 
Ukosefu wa adabu wa hali ya juu sana
kila demu ni dada wa mtu fulani, kushindwa kufanya yetu sababu ya kaka yake ni ujinga, sababu yeye mwenyewe demu anahitaji hiki, anahitaji mtu wa kumtoa stress anahitaji kufeel sexy anahitaji game, niko very sure kuna somebody anawashugulikia dada zangu muda huu pengine
 
Ila una hoja ya msingi sana
 
Ulichoandika sina uhakika kama walau ulipata dakika tatu za kutafakari.
Kwenye huu uzi kwa upande wangu naona kila mtu ana hoja ya msingi,ukiutafsiri negative basi utakua uko sahihi kwa hoja zako na atakaechukulia positive bado atakuwa sahihi kwa hoja zake,hoja zipo balanced
 
Hawa ndio watoto wa mabwanyenye wa ya ccm,kila siku lipo hapa jukwaan kueneza propaganda za kizushi tuu ili waendelee kubaki madarakani,,
 
Kila siku upo hapa jukwaani kumtukana Mbowe na upinzani ,bahati mbaya mshua wako amejaliwa litoto limoja la kiume kichwa maji wengine wa kike akaona huyo jamaa ndio anaweza kuwa mrithi mzuri wa mali zake tofauti na ww umebaki kutukana tuu hapo lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…