Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

Amelipa fadhira maana Dada yako angeburuzwa na wajuba bila kuolewa, huyo ni rafiki mwema mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya rafiki?

Rafiki ni mtu mnatunziana siri nzito sana, watu wanavamia bank na marafiki siyo ndugu, marafiki hupanga hata mauaji na marafiki na hiyo siri hubaki mioyoni mwao tu.

Kiufupi rafiki yako kuoa Dada ni usaliti mkubwa na usimwamini tena kwenye mission yoyote ya kutafuta hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeumia sana, kamuoe dada yake au ndugu yake wa kike ili iwe bilabila. Kitaalam tunaita cross matipulikesheni.

Nawatakia ndoa njema yenye baraka tele.
 
Kuoa dada wa rafiki sio jambo baya kabisa, ila kwangu mim nafikiri busara ni kumjulisha rafiki yako kwanza kabisa kabla hujaamua kujilipua, kumpa dhamira, kupata ushauri na kusikia nini maoni yake ili kulinda urafiki wenu pia....ila tu challenge ni pale ukigombana na dada yake, urafiki unaweza yumba pia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hutaki dada yako aolewe basi nenda ukamuoe wewe.Pumbavuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
Mkuu tuliza akili, kilichopo muheshimu shemeji yako tu.....labda kama unahofia mienendo ya rafiki yako na unajua but kama kaamua kuoa we kubali matokeo
 
Reactions: amu
CHAI CHAI CHAI CHAI CHAI CHAI CHAI CHAI CHAI.
 
Kwa hiyo ulitaka aoelewe na nani?
 
Reactions: amu
Angekua anapiga tu na kusepa hapo ingeone anatabia mbaya lakini jamaa anaona shida iko wapi?. Acha wivu.
 
Reactions: amu
Well said.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
Mimi pia sielewani na shemeji yangu kisa kama hiki hiki hadi nashindwa kuelewa kuna kosa gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu

Sijaunga mkono kusema jamaa alifadhiliwa au alikuwa maskini maana hiyo ni life tu..
ila kwa rafiki yangu kuoa dada angu pengine bila mimi kujua hadi wanapeana mimba, watajua wenyewe maana wote ni watu wazima ila urafiki wangu na yeye ndo ushakufa. Huwa sina mazoea na mtu anaeitwa shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…